Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Machangudoa wa Sinza Mori hamuogopi UKIMWI?

Kumbe wewe mzoefu
Nikishawahi kuibiwa Joburg na dada zetu hao. Nilikuwa bwax hata show nilipiga bao 2 sasa nimekuja kustuka bibie kabeba begi la laptop, passport, saa na wallet. Nawaelewa vzr
 
Mtu anayeshangaa changudoa dunia ya leo namuona kama ana Giza flani akilni, changu wapo jamii zote hapa duniani
Shangaa aina za machangu na namna wanavyojiuza kwa style tofautitofauti kwa kutumia mbinu mbalimbali
Hawa wanaoshangaa changu usikute wanachati nao humuhumu jf bila yy kujua naanatongoza na kutumia gharama kubwa ya pesa akijua mpenzi kumbe ananunua changudoa!
Akishachunwa vya kutosha anapgwa chini anaishia kulia nimeachwa na mpenz kumbe kaachwa na changudoa!
Kweli kabisa, potential prostitutes!
 
Ulimuwahi au alienda navyo!
Sikumpata mkuu. Ilibidi kwanza niende ubalozini pretoria kupata hati ya kusafiria ya dharura, Kisha nipige Simu bongo wanitumie pesa japo sikutangaza kilichonipata. Maana wife Angetangaza ukoo mzima ingekuwa nongwa kama ishu ya BASHITTe
 
Nikishawahi kuibiwa Joburg na dada zetu hao. Nilikuwa bwax hata show nilipiga bao 2 sasa nimekuja kustuka bibie kabeba begi la laptop, passport, saa na wallet. Nawaelewa vzr
Pole mkuu. siku ingine toa vitu vyako muhimu au ikibidi hata begi zima acha pale mapokezi. Kumbuka huyo mtu humjui wala hakujui, mmekutana tu. Tena inabidi umwangalie na kumsoma vizuri kabla hamjatoka. Mwingine sio hata wakulala nae hadi asbh anaweza hata kukudhuru.

Mwingine ni wa kumla asali tu kisha mtimue aende zake. Kumbuka hao watu wengi wao ni kizazi kilichopotea wameshindwa maisha, wana uchungu na wamekata tamaa ya maisha anaweza kufanya lolote bila kutegemea hata kukuibia au kukudhuru wkt mmelala akasepa zake.
 
Pesa chini ya Chaga simu ndani ya viatu,alafu kama una wallet,ndo ikae nje nje,lakini tenganisha na pesa, Hawa si watu.
NYONGEZA: Usiende kugonga hawa wadudu ukiwa bwax, hawacelewi kuchomoa ndom ili apate joto na utelezi+Akugaiwe virusi mfe wengi. Enjo akukolea jinsi unavomuna lazima apasue ndom *****
 
Back
Top Bottom