Machafuko yaibuka Marekani baada ya majaji kumuona muuaji hana hatia

Maamuzi haya yangefanywa nchi nyingine,ungeona jinsi Marekani na wa2 wa haki za bnadam wanaingilia kati swala hili na kulivalia njuga.Ila kwa kuwa yamefanyika USA,nchi zote za magharibi kimya km hazijui kinachoendelea huko

Yalishafanywa kwenye issue ya Ulimboka na Mwangosi, bado Mmarekani hakusema kitu.
 
Hao weusi wa marekani wenyewe wakijua wewe ni mweusi toka Africa wanakubagua lakini wazungu watakupa ushirikiano. Im sory for the little kid. Ila kwa hao wakubwa na msemo wa Pinda uwashukie.
 
uko sahihi mkuu bora ukae na wazungu kuliko na Wanugu.wanaweza wakakushoot
 
Wewe hata usijitutumue sana mkuu,we amini unavyoamini tu ila kaa ukijua haitokuja kutokea watu weupe kutuona sie kama watu wa kawaida kwenye nafsi zao.

Hivi ushawahi kukaa nao karibu au kuwa jirani au kifanya nao kazi .Kwanza wanaweza kukuua kwa dollar 2 ,wambea Hao wabongo wananafuu,Wakikutishia maisha hawatanii ,Wavivu mnoooo ,hawaaminiki,Wanawake wanazaa wewe na child support watahakikisha hulali usingizi.Racism ndio ticket ya kujitetea.umewaona mwenyewe kwenye tv .
 
uko sahihi mkuu bora ukae na wazungu kuliko na Wanugu.wanaweza wakakushoot

Hivi kwa nini black America wapo hivi jamani.jesse Jackson alisema akitembea barabarani anajiona safe akikutana na wazungu mwafrika mweusi anaogopa.Its sad kwa kweli
 
Jury 3 black people 4 white 3 Latino .sasa hapo racism imetokea wapi
Liar!
Jury ina jurors 12 ....
Jury ya Brown 3 blacks, 9 whites, no latinos at all!
There are more blacks in Ferguson than whites .... so whats the probability of having more whites in the jury? If they were randomly picked.
 
Hivi ushawahi kukaa nao karibu au kuwa jirani au kifanya nao kazi .Kwanza wanaweza kukuua kwa dollar 2 ,wambea Hao wabongo wananafuu,Wakikutishia maisha hawatanii ,Wavivu mnoooo ,hawaaminiki,Wanawake wanazaa wewe na child support watahakikisha hulali usingizi.Racism ndio ticket ya kujitetea.umewaona mwenyewe kwenye tv .
Mwongo!..
Mademu wa kinugu kukuweka kwenye papers kazi sana. They often hold it down single handedly.
Whites lazima wakupeleke court.
 
Mleta mada alicho elezea kina utata sana. Kesi haijaamuliwa na wala haijakwisha. Hii ni ngazi ya kwanza tu ya mfumo wa ki-mahakama ya Marekani ulivyo.

Maamuzi yametolewa na "Grand Jury" ambao ni raia wa kawaida tu 12 wanaopewa jukumu la kuangalia mwenendo na mazingira ya mauwaji yalivyotokea na kuamua kama mshutumiwa ana kesi ya kujibu mahakamani kwa kosa la jinai la mauaji au la. Na kama wangemuona ana kesi ya kujibu, basi mahakama inayosimamiwa na jaji ingeendelea kuisikiliza hiyo kesi....YA JINAI (criminal case).
Yaliyotokea Fergusson ni kuwa jopo hilo la wananchi, limemuona mshutumiwa hana haja ya kuwajibika kwa kosa la jinai..

Sasa, hatua inayofuata, bado mshutumiwa atafunguliwa "civil case" kwa kumnyima binaadam mwenzake haki ya kuishi. Kesi ya namna hii inajumuisha mtuhumiwa na mwajiri wake ambae amempa uwezo na zana za kumwezesha kutimiza kitendo kama hiki cha uuwaji...
Kesi ya "civil rights violation for the right to exist" ni kesi ya kitaifa na si ya kimkoa. Mara nyingi adhabu yake ni kulipwa fidia. Familia ya marehemu inaweza kupata kitita cha mamillioni ya dollars kama watafanikiwa.
 
Hivi ushawahi kukaa nao karibu au kuwa jirani au kifanya nao kazi .Kwanza wanaweza kukuua kwa dollar 2 ,wambea Hao wabongo wananafuu,Wakikutishia maisha hawatanii ,Wavivu mnoooo ,hawaaminiki,Wanawake wanazaa wewe na child support watahakikisha hulali usingizi.Racism ndio ticket ya kujitetea.umewaona mwenyewe kwenye tv .

Labda unaishi machimbo na matrash wenzako mliojazana welfare,kuna weusi all over US ambao ni business owners,Drs,Engineers,CEOs etc nenda Hamptons or Beverly Hills mamilionea weusi kibao tuu..wewe ukikutana na trash nyeusi na kusikiliza foxnews basi unafikiri weusi wote washenzi kama mabwana zako trash za kizungu mliojazana welfare na Medicaid mnakula bure ,racism ipo na wazungu wamejaa welfare kuliko weusi is a FACT,na acha kujidharau
 
Mkeo tipwa tipwa hajambo? Mna watoto wangapi mpaka sasa?
 
Child support .... court paperz, u know.

Hmm...kama ni hizo basi sina hakika sana na ulichosema kwa sababu experience ya observations zangu ni kinyume na ulivyosema wewe.

Au labda inategemea sehemu na sehemu ambayo mtu yupo....
 
Mkeo tipwa tipwa hajambo? Mna watoto wangapi mpaka sasa?

Wee ulipotelea wapi au life ngumu?tipwa tipwa ni sampuli zako,changu kimetulia hata Halle Berry cha mtoto...acha nile maisha tuu and wish you well na mabeef yako
 
Hivi wewe kwa nini Wanyarwanda huwapendi?

Halafu totoz kali uziotea wapi wewe mtu mwenye uko 5'5?
 
Hmm...kama ni hizo basi sina hakika sana na ulichosema kwa sababu experience ya observations zangu ni kinyume na ulivyosema wewe.

Au labda inategemea sehemu na sehemu ambayo mtu yupo....
Experience yangu ni waaay different from yours I guess.
Mademu wa kinugu hawakupeleki mhakamani kirahisi kama wa kizungu. WENGI wao ukiwauliza wapi babydaddy anakwambia he aint shh.
 
It must be, but that's definitely not the case in the deep south!
 
Back
Top Bottom