Machafuko yaibuka Marekani baada ya majaji kumuona muuaji hana hatia

Acheni kuionea Marikani gele.sasa huyo mswahili ametishia polisi ulitegemea nini.Wewe wapelekee FFU jeuri yako ukione.Vyombo vya haki vimeshashughulikia suala hili na kutoa uamuzi.sio mambo ya upanga
 
Mabongo bana, mbona hata hapa bongo polisi mkurya anaua raia mchaga tena hata mahakama hafikishwi huo nao ni ubaguzi wa kikabila? Na polisi msukuma akiua raia msukuma tusemeje?! Au mzungu kwa muafrika ndo ubaguzi eti?!
 
How long shall they kill our prophet...while we stand inside in look-- The legend BOB MARLEY
 
Maamuzi haya yangefanywa nchi nyingine,ungeona jinsi Marekani na wa2 wa haki za bnadam wanaingilia kati swala hili na kulivalia njuga.Ila kwa kuwa yamefanyika USA,nchi zote za magharibi kimya km hazijui kinachoendelea huko

Umeona eeh!
Yaaani ni hawa watu sio kabisa
 
Sisi tupo Africa, sasa unatulazimisha tuchangie mada iliyotokea MArekani ambako hatujui kiundani hiyo kesi ilipelekwa vipi.
I
Au una njama za kutuondoa katika kufikiria pesa zetu za ESCROW????? kwa kujadili mauaji Marekani???

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Pole sana mkuu...tutasahau tu...!
 
Nimependa watu awapendi ujinga wazungu wengi wanaubaguzi sana

Kwanini hili swala umeanza kuliangalia kwa jicho la ubaguzi haraka hivi? hivi mtu unaambiwa weka mikono juu halafu unachomoa kitu kinacho fanana na risasi unategemea nini kama si kudhibitiwa kwa moto? Ni nani angejua hiyo ilikuwa bunduki bandia? Ni nani angejua alikuwa ana tania?
Na kuhakikishia kuwa ukifanya hivi hata Tanzania utatandikwa risasi kabisa ili halina mjadala....we we ni criminal!

Nakubaliana na wanaosema kuwa watunge sheria za kuweka rangi fulani kwenye bunduki bandia!
Labda tuanze kuhoji alipigwa sehemu gani ya mwili na alikuwa amesimama vipi ili kuangalia kama kulikuwa na kusudia la kuuwa!
 
Tatizo lao hawa. Brazaz and sistaz wamejisahau sana. Warudi nyumbani, afrika. Huku ndo kwao. Kule wataendelea kuwa wageni.

Mkuu nasikia hao kuna baadhi hawataki kabisa kuwaambia swala kuwa wao asili yao ni afrika,wao wanakwambia wamezaliwa marekani hivyo wao ni wamarekani.
 
Kwanini hili swala umeanza kuliangalia kwa jicho la ubaguzi haraka hivi? hivi mtu unaambiwa weka mikono juu halafu unachomoa kitu kinacho fanana na risasi unategemea nini kama si kudhibitiwa kwa moto? Ni nani angejua hiyo ilikuwa bunduki bandia? Ni nani angejua alikuwa ana tania?
Na kuhakikishia kuwa ukifanya hivi hata Tanzania utatandikwa risasi kabisa ili halina mjadala....we we ni criminal!

Nakubaliana na wanaosema kuwa watunge sheria za kuweka rangi fulani kwenye bunduki bandia!
Labda tuanze kuhoji alipigwa sehemu gani ya mwili na alikuwa amesimama vipi ili kuangalia kama kulikuwa na kusudia la kuuwa!

Wewe hata usijitutumue sana mkuu,we amini unavyoamini tu ila kaa ukijua haitokuja kutokea watu weupe kutuona sie kama watu wa kawaida kwenye nafsi zao.
 
kuna watu humu ukija Uzi kuikosoa US wanajifanya hawaoni.....yani wanaiona U S ni mungu ...ukiisema vibaya wanakimbilia kuwaambia mods waondoe Uzi....
US tunajua kuwa si nchi ya weusi, weusi wanachukuliwa kama bado watumwa tu!!! Wao wenyewe uko wanalalamika sana lakini changes ni kidogo sana au Hakuna.Lakini hata hao weusi wa Marekani bado sisi huku wanatuona kuwa na tofauti na wao, Hawajali na si hatujali!!! Kama umesahau rais wa Marekani ni mweusi !! Awasaidie kama anaweza.
 
Hao wamarekani weusi huko wengi wako kama wewe na ndiyo maana wanapata matatizo hayo.

pamoja na kwamba mimi ni mweusi sina hizo tabia za wamarekani weusi na ni mekaa na hao wazungu wako na shida lakini ukijiheshimu na wao watakuheshimu usitegemee utaheshemika kama uko violent na ukifungua mdomo ni matusi tu.
 
Ubaguzi ni hatari sana kwa jamii.Wewe huwezi kuendeshewa kesi kwa muda mfupi kiasi hicho halafu iishe bila suluhisho.
 
pamoja na kwamba mimi ni mweusi sina hizo tabia za wamarekani weusi na ni mekaa na hao wazungu wako na shida lakini ukijiheshimu na wao watakuheshimu usitegemee utaheshemika kama uko violent na ukifungua mdomo ni matusi tu.

Inamaana wamarekani weusi hawajiheshimu ndiyo maana wanabaguliwa?halafu niliposema wapo kama wewe sikuwa na maana ya rangi.
 
Najua kama kuna watu humu hawapendi marekani isemwe vibaya,yani atatea kwa nguvu zote.
Lakini hadi sasa najiuliza hivi ni sababu ipi inayowafanya hao watu kuwa hivyo?
 
Hapo ndio tunamkumbuka The legend BOB MARLEY na wimbo wake..War war war everywhere is war.....

Until the philosophy which hold on race superior
And another
It finally
And permanently
Discredited
And abandoned
Everywhere is WAR
me say WAR

That until there no longer
First class and second class citizens of any nation
Until the colour of a man's skin is of more significance than the colour of his eyes
Me say WAR

That until the basic human rights
Are equally guaranteed to all without regard to race
Dis say WAR

That until that day the dream of lasting peace
World citizenship
Rule of international morality
We remain in but a fleeting
Illusion to be persuade
But never attained
Not everywhere is WAR WAR WAR WAR WAR WAR
WAR EVERYWHERE IS WAR

yaan hakika Bob alikuwa nabii
Uu wimbo kila siku unatililika kwenye damu yangu.
 
Back
Top Bottom