Machafuko yaibuka Marekani baada ya majaji kumuona muuaji hana hatia

wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
3,788
2,000
Maandamano uchomaji nyumba, majengo na magari ya serikali umelipuka Marekani katika mji wa Ferguson uliopo katika jimbo la Missouri kufuatia kuondolewa kwa mashtaka ya mauaji dhidi ya polisi mzungu aliyemuua makusudi kijana Michael Brown ambaye hakuwa na silaha yoyote.

Machafuko hayo yanafanywa na vijana weusi ambao wanadai kuwa ni ubaguzi umefanyika katika kumuona Wilson hana hatia ya mauaji, hali ya mji wa Ferguson ni mbaya, polisi wanapambana na makundi ya vijana wenye hasira, mabomu ya machozi, risasi za moto vinarindima kila kona ya mji, polisi mzungu muuaji ameachiwa huru na anaendelea na kazi kama kawaida.

Rais Obama amewataka wananchi waheshimu sheria na kuahidi kulifuatilia jambo hilo kwa kina, kuna wasiwasi machafuko hayo yanaweza kusambaa kwenye miji mingine ya Marekani, familia ya kijana aliyeuawa kikatili inalia na kuomboleza kwa jinsi kesi hiyo ilivyoendeshwa kibaguzi na kwa muda mfupi. Inasemekana kuwa jopo la majaji waliohukumu kesi hiyo ni wazungu watupu wenye mrengo hatari wa ubaguzi wa rangi.
WireAP_e5c6d0e7021b4e32ab1ee6c4e95e0b7d_16x9_992.jpg
Lesley McSpadden, the mother of Michael Brown, left standing on the top of a car, reacts as she listens to the announcement of the grand jury decision Monday, Nov. 24, 2014, in Ferguson, Mo. A grand jury has decided not to indict Ferguson police officer Darren Wilson in the death of Michael Brown, the unarmed, black 18-year-old whose fatal shooting sparked sometimes violent protests

Protesters smashed windows out of police cars and businesses, several of which were later set ablaze, and officers lobbed tear gas from inside armored vehicles to disperse crowds Monday as violence overtook protests in Ferguson.

Some of the hundreds of people who gathered outside the Ferguson Police Department erupted in anger as St. Louis County Prosecutor Bob McCulloch's announced that Officer Darren Wilson, who is white, wouldn't be indicted in the shooting death of 18-year-old Michael Brown, who was black and unarmed.

Protesters overran a barricade and taunted police. Some chanted "murderer" and others threw rocks and bottles. Gun shots rang out a several points during the night, though it was not immediately clear if anyone was hit or any arrests were made related to the gunfire.

The windows of a police car were smashed and protesters tried to topple it before it was set on fire, though some in the crowd tried to stop others from taking part in the violence. Officers responded by firing what authorities said was smoke and pepper spray into the crowd. St. Louis County Police later confirmed tear gas also was used.

A storage unit and a Little Caesar's pizza shop were among buildings that burned.

When McCulloch read his statement, a crowd gathered around a car from which the news conference was broadcast on a stereo. Brown's mother, Lesley McSpadden, sat atop the car. When the decision was announced, she burst into tears and began screaming before being whisked away by supporters.

A short time later, Brown's family issued a statement asking people to keep their protests peaceful.

"Answering violence with violence is not the appropriate reaction," the statement said.

Source:
http://abcnews.go.com/US/wireStory/ferguson-crowd-erupts-anger-indictment-27151231
 
Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
9,596
2,000
Maandamano uchomaji nyumba, majengo na magari ya serikali umelipuka Marekani katika mji wa Ferguson uliopo katika jimbo la Missouri kufuatia kuondolewa kwa mashtaka ya mauaji dhidi ya polisi mzungu aliyemuua makusudi kijana Michael Brown ambaye hakuwa na silaha yoyote.

Machafuko hayo yanafanywa na vijana weusi ambao wanadai kuwa ni ubaguzi umefanyika katika kumuona Wilson hana hatia ya mauaji, hali ya mji wa Ferguson ni mbaya, polisi wanapambana na makundi ya vijana wenye hasira, mabomu ya machozi, risasi za moto vinarindima kila kona ya mji, polisi mzungu muuaji ameachiwa huru na anaendelea na kazi kama kawaida.

Rais Obama amewataka wananchi waheshimu sheria na kuahidi kulifuatilia jambo hilo kwa kina, kuna wasiwasi machafuko hayo yanaweza kusambaa kwenye miji mingine ya Marekani, familia ya kijana aliyeuawa kikatili inalia na kuomboleza kwa jinsi kesi hiyo ilivyoendeshwa kibaguzi na kwa muda mfupi. Inasemekana kuwa jopo la majaji waliohukumu kesi hiyo ni wazungu watupu wenye mrengo hatari wa ubaguzi wa rangi.
Kwa vile waliofanya ubaguzi huu ni mmarekani,hakuna atakaechangia Uzi huu.
 
Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
11,762
2,000
[h=2]@M011Violence erupts after Ferguson ruling[/h]

Previous image | Pause | Next image
2 / 6

A US grand jury decides not to charge a police officer over the death of an unarmed black teenager, prompting anger on the streets of Ferguson, Missouri.

[HR][/HR]
[h=2]Violence after Ferguson grand jury verdict Live [/h]3 hours ago

Ndiyo mwisho wao !!
 
Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,819
2,000
Ila wazungu washenzi sana basi tu!
Ubaguzi upo kwenye damu ht iweje wana pretend tu
Kama Samuel Eto'o wanamuita Nyani, mimi na wewe wananchi wa kawaida watatuitaje?

Fine inayopigwa team kwa kosa la kuchelewa kuingia uwanjani ni kubwa kuliko kwa kosa la mashabiki wao kufanya ubaguzi.

Wazungu miyeyusho.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,253
2,000
Tatizo lao hawa. Brazaz and sistaz wamejisahau sana. Warudi nyumbani, afrika. Huku ndo kwao. Kule wataendelea kuwa wageni.
 
mizambwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
4,431
2,000
Kwa vile waliofanya ubaguzi huu ni mmarekani,hakuna atakaechangia Uzi huu.
kuna watu humu ukija Uzi kuikosoa US wanajifanya hawaoni.....yani wanaiona U S ni mungu ...ukiisema vibaya wanakimbilia kuwaambia mods waondoe Uzi....

Sisi tupo Africa, sasa unatulazimisha tuchangie mada iliyotokea MArekani ambako hatujui kiundani hiyo kesi ilipelekwa vipi.

Au una njama za kutuondoa katika kufikiria pesa zetu za ESCROW????? kwa kujadili mauaji Marekani???

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kuveta

JF-Expert Member
Nov 6, 2014
1,172
2,000
Maandamano uchomaji nyumba, majengo na magari ya serikali umelipuka Marekani katika mji wa Ferguson uliopo katika jimbo la Missouri kufuatia kuondolewa kwa mashtaka ya mauaji dhidi ya polisi mzungu aliyemuua makusudi kijana Michael Brown ambaye hakuwa na silaha yoyote.

Machafuko hayo yanafanywa na vijana weusi ambao wanadai kuwa ni ubaguzi umefanyika katika kumuona Wilson hana hatia ya mauaji, hali ya mji wa Ferguson ni mbaya, polisi wanapambana na makundi ya vijana wenye hasira, mabomu ya machozi, risasi za moto vinarindima kila kona ya mji, polisi mzungu muuaji ameachiwa huru na anaendelea na kazi kama kawaida.

Rais Obama amewataka wananchi waheshimu sheria na kuahidi kulifuatilia jambo hilo kwa kina, kuna wasiwasi machafuko hayo yanaweza kusambaa kwenye miji mingine ya Marekani, familia ya kijana aliyeuawa kikatili inalia na kuomboleza kwa jinsi kesi hiyo ilivyoendeshwa kibaguzi na kwa muda mfupi. Inasemekana kuwa jopo la majaji waliohukumu kesi hiyo ni wazungu watupu wenye mrengo hatari wa ubaguzi wa rangi.
Maamuzi haya yangefanywa nchi nyingine,ungeona jinsi Marekani na wa2 wa haki za bnadam wanaingilia kati swala hili na kulivalia njuga.Ila kwa kuwa yamefanyika USA,nchi zote za magharibi kimya km hazijui kinachoendelea huko
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom