Machafuko yaibuka Marekani baada ya majaji kumuona muuaji hana hatia

Labda unaishi machimbo na matrash wenzako mliojazana welfare,kuna weusi all over US ambao ni business owners,Drs,Engineers,CEOs etc nenda Hamptons or Beverly Hills mamilionea weusi kibao tuu..wewe ukikutana na trash nyeusi na kusikiliza foxnews basi unafikiri weusi wote washenzi kama mabwana zako trash za kizungu mliojazana welfare na Medicaid mnakula bure ,racism ipo na wazungu wamejaa welfare kuliko weusi is a FACT,na acha kujidharau

Mswahili akizoea kutazama foxnews halafu akawa na mke/mme mzungu anajiona ameshakuwa mzungu.
 
Haa aaahh haaa.....6'2" hapa acha utani 5'5" ni vimo vyenu,mimi sichukii Rwandese sipendi wale genociders wanaokuja humu kudanganya what happened in 1994

6'2 my azz.

Kama huna pa kwenda njoo ule bata mzinga, glazed ham, na cornbread stuffing.
 
Mwongo!..
Mademu wa kinugu kukuweka kwenye papers kazi sana. They often hold it down single handedly.
Whites lazima wakupeleke court.

Ninawaogopa wanugu Ile mbaya yake .they don't play kabisaaa.yaani Mimi sipendi draaaaama.rafiki yangu mmoja aliolewa nao saa Hizi ni kizungumkuti .makaratasi jajampa na anadundwa na ameshajiingiza kwenye madawa huyo mnugu.hawafai
 
Kwasababu zipi wamemuachia?? Hawakuweza hata kuangalia hasira ya umma?
Au nao wamekuwa kama majaiji wetu na escrow??
 
Waswahili ni washenzi wa tabia acha tu wapigwe risasi, hawa wakina chenge, tibaijuka na wenzao wa escrow ni bora mzungu akaja na huku akawatwanga risasi mseme ubagazi, make sisi kwa sisi watuwezani.
Ama kweli mzungu mbaguzi! Katubagua kwa kutunyima bajeti hadi tumetia akili kidogo na leo wezi wametajwa bungeni nami nasema mzungu atwange na risasi, tena huyu tibaijuka kakaa sana kule marekani kwa huu wizi wake wangemtwanga risasi tungesema ni ubaguzi na sio wizi!!
 
You' re so good at steering up the pot...lol!, U ready for da Bird?!

More than ready!

I've got the bird, panko-crusted green bean casserole, mac n' cheese, cornbread and sausage stuffing, apple pie, and cranberry sauce.

Drinks: Clementine sparkler, pomegranate fizz, and apple cider.

thanksgiving_menu_guide.jpeg
 
Nyani Ngabu kama uko DMV ( Washington DC,Maryland au Virgini ata Pennsylvania si mbaya

Nitafute nikupe Turkey mmoja wa Thanksgiving ninao wa kutosha
 
Last edited by a moderator:
More than ready!

I've got the bird, panko-crusted green bean casserole, mac n' cheese, cornbread and sausage stuffing, apple pie, and cranberry sauce.

Drinks: Clementine sparkler, pomegranate fizz, and apple cider.

thanksgiving_menu_guide.jpeg

Mh!, haya bwana nitamanishe tu, I surrender!, and am drooling!
 
Hivi kwa nini black America wapo hivi jamani.jesse Jackson alisema akitembea barabarani anajiona safe akikutana na wazungu mwafrika mweusi anaogopa.Its sad kwa kweli

Hivi ndio huyu Jesse Jackson alitukanwa na "The Game" kwenye wimbo wake wa "My Life" kwa kauli hii??
 
Kwanini hili swala umeanza kuliangalia kwa jicho la ubaguzi haraka hivi? hivi mtu unaambiwa weka mikono juu halafu unachomoa kitu kinacho fanana na risasi unategemea nini kama si kudhibitiwa kwa moto? Ni nani angejua hiyo ilikuwa bunduki bandia? Ni nani angejua alikuwa ana tania?
Na kuhakikishia kuwa ukifanya hivi hata Tanzania utatandikwa risasi kabisa ili halina mjadala....we we ni criminal!


Nakubaliana na wanaosema kuwa watunge sheria za kuweka rangi fulani kwenye bunduki bandia!
Labda tuanze kuhoji alipigwa sehemu gani ya mwili na alikuwa amesimama vipi ili kuangalia kama kulikuwa na kusudia la kuuwa!

Unachokisema ni sahihi, 18yrs sio mtoto wa kushindwa kujua madhara ya alichokua anakifanya, utovu wake wa nidhamu wa kukaidi amri halali ya askari ndio vimepelekea yote hayo, pole kwa familia yake! Tuendelee na ya kwetu huku ya Escrow.
 
More than ready!

I've got the bird, panko-crusted green bean casserole, mac n' cheese, cornbread and sausage stuffing, apple pie, and cranberry sauce.

Drinks: Clementine sparkler, pomegranate fizz, and apple cider.

thanksgiving_menu_guide.jpeg

Matakataka full GMO...endelea kujipongeza na tipwa lako.
 
Kuna mtoto wa miaka 8 black ameshutiwa na mzungu askari.Mtoto alikuwa yuko park na ameshika bastola ya toy tu.huyu mzungu akajua bastola ya ukweli akamshoot
 
Hivi ushawahi kukaa nao karibu au kuwa jirani au kifanya nao kazi .Kwanza wanaweza kukuua kwa dollar 2 ,wambea Hao wabongo wananafuu,Wakikutishia maisha hawatanii ,Wavivu mnoooo ,hawaaminiki,Wanawake wanazaa wewe na child support watahakikisha hulali usingizi.Racism ndio ticket ya kujitetea.umewaona mwenyewe kwenye tv .

Hao unaowazungumzia wewe ni wale wahuni tu ambao hata hao nguruwe wako wapo wa aina hiyo, mi nazungumzia hili swala kiujumla wake si kundi la aina moja.
 
Back
Top Bottom