Machache kuhusu vyuo vya SAUT na UDSM

Nilichaguliwa pale

I was multiple selected niliacha kwenda Nianakili Sana matokeo yangu ya A-level ninasoma chuo chochote duniani
Basi akili yako itakuwa sehemu ile aliyoisema Dr Masaburi,maana unafananisha mbingu na ardhi.Lete details hapa za nini university inahitaji kuwa navyo acha kupiga kelele

Tumia akili yako na si ya naibu waziri
 
We jamaa
Sasa kama Naibu waziri aliposema Saut imekua bora akasema imekua bora kuliko UDSM au sio?

Mzee hii Saut itabidi ikulipe maana unapambana sana kuilinganisha na UDSM huku mtandaoni, Saut ni Chuo kikuu sikatai ila sio level ya UDSM
Akili ya kawaida tu angalia alumni wa UDSM then angalia Saut ndio utapata picha.

Jaribu hata ku-google tu ulete data za University ranking.

Saut na UDSM ni kulinganisha mwanafunzi wa vidudu na Form six japo wote ni wanafunzi
Amesema kwenye moot court imekuwa ya tano ilo nalo unasemaje?
 
Basi akili yako itakuwa sehemu ile aliyoisema Dr Masaburi,maana unafananisha mbingu na ardhi.Lete details hapa za nini university inahitaji kuwa navyo acha kupiga kelele

Tumia akili yako na si ya naibu waziri
Kunaweza kukawa na kaukweli maana lecture room zinajaa watu wanasikiliza kwa kupitia madirishani sijui kama kweli mambo yatakuwa sawa
 
Amesema kwenye moot court imekuwa ya tano ilo nalo unasemaje?
Kwani UDSM inafundisha sheria peke yake?
Mbona hajazungumzia engineering na sayansi zingine?

Acheni kupenda porojo za vichekesho eti saut izidi UDSM hiyo Saut hata kwa UDOM haitii unyayo
 
Kwa hili tu inatosha kuonyesha kuwa hujui chochote juu ya udsm. In terms of course units, the minimum kwa course za miaka 3 ni 90 na sio 36+ kama unavyosema.
Hizo kwa mwaka a see mean 1semister na 2semister kwa ujumla wake....so piga miaka ya masomo kwa faculty
 
Kwani UDSM inafundisha sheria peke yake?
Mbona hajazungumzia engineering na sayansi zingine?

Acheni kupenda porojo za vichekesho eti saut izidi UDSM hiyo Saut hata kwa UDOM haitii unyayo
Competence ya wanafunzi wa vyuo vya serikali Ni poor Sana the best government university kwa elimu Ni SUA pekee na ndio chuo kinacholalamikiwa pamoja na SAUT kwamba vinabana wanafunzi ila wakitoka wako conc na competent
 
Who said and lied to you

I was the seminarian nimepitia mchujo wa kua mseminari alot of wanafunzi wanaofanya mtihani wakitokea kafaulu kachaguliwa seminary na at the same time kachaguliwa special school wengi huenda special school na ndio maana seminary hua wanaweka watu wa reserve kwenye machaguo yao na baada ya hapo hua tunakuja kuwanyoosha tu kwenye pepa pamoja na special school zao
Ni bora umemwambia maana hajui alisemalo mimi nawambia hivi unaweza fundishwa na Father/Padre ambaye sio professor na ukaelewa zaidi ya wanaofundishwa na maprofessor Warumi hawanaga masihara na elimu. Jamani mafather wapo competent sijapata kuona.
 
Competence ya wanafunzi wa vyuo vya serikali Ni poor Sana the best government university kwa elimu Ni SUA pekee na ndio chuo kinacholalamikiwa pamoja na SAUT kwamba vinabana wanafunzi ila wakitoka wako conc na competent
We ulisoma chuo gani mkuu
Mimi ni UDSM alumnus, najivunia hilo
 
We ulisoma chuo gani mkuu
Mimi ni UDSM alumnus, najivunia hilo
UDSM Niko na sister angu na uzuri tunasoma course moja Ana akili Sana lakini mkikutana anamuuliza vitu vidogo anakuambia hajui au hawajafundishwa bado na at the moment Yuko mbele yangu mimi kwa mwaka mmoja
 
Ni bora umemwambia maana hajui alisemalo mimi nawambia hivi unaweza fundishwa na Father/Padre ambaye sio professor na ukaelewa zaidi ya wanaofundishwa na maprofessor Warumi hawanaga masihara na elimu. Jamani mafather wapo competent sijapata kuona.
Ni kweli mkuu, tuliopitia hizi taasisi za kidini,strict sana mkuu
 
Nilisoma kitu tofauti na Sasa hivi nasoma kitu tofauti na Wala sitafuti masters Ni bachelor
Basi endelea kusoma.

Ujitahidi siku moja upate sifa ya kujiunga na chuo kikuu kikongwe na chenye sifa kubwa ndani na nje ya Tanzania.
 
Basi endelea kusoma.

Ujitahidi siku moja upate sifa ya kujiunga na chuo kikuu kikongwe na chenye sifa kubwa ndani na nje ya Tanzania.
Siwezi kwenda sehem yenye historia tu lakini currently elimu Ni mbovu
 
UDSM ni level ingine! shindanisha SAUT na teofilo kisanji ama ni kile chuo cha wasabato arusha au na Tumaini ndio wenzake hao
LAKINI wakongwe UDSM, SUA, MZUMBE na Open hao rank yako myingine kabisa. kwa leo yao huenda ni wazuri lakini factor inayolinganisha na UDSM unakosea!!
 
Kama zimebadilishwa baada ya sisi kumaliza last year, ninakubaliana na wewe!
Mkuu huyo asikudanganye SAUT bado wanatumia grade za seminary za
80-A, 70-B+, 60-B, 50-C kwa mwaka wa nne law na Engineering ila kuanzia mwaka wa kwanza mpaka wa tatu kwa faculty zote wanatumia mfumo wa kawaida wa serika, nina dogo yupo pale anasoma law. Hivyo kwa grade hizi lazima uwe nondo tu.
 
Kwani UDSM inafundisha sheria peke yake?
Mbona hajazungumzia engineering na sayansi zingine?

Acheni kupenda porojo za vichekesho eti saut izidi UDSM hiyo Saut hata kwa UDOM haitii unyayo
Anyway mimi si mshabiki wa uko mnakotaka kunipeleka ila the argument was about the current quality of education both they are providing. Ndio akawaongelea wanasheria kwamba quality ya UD imeshuka hata law school performance yao imeshuka na hata kwenye moot court practice walikuwa wa 5. Nilitegemea uegemee hapo na umjibu. Sidhani kama SAUT wana engieering unayotaka kumpeleka
 
Back
Top Bottom