Machache kuhusu vyuo vya SAUT na UDSM

Upumbavu kulinganisha vyuo, nimesoma SAUT MD nafananaje na mtu aliyesoma UDSM bachelor of arts in linguistics?
.........mtaani maisha ni tofauti wazee kujiongeza ni mpango mzima,tofauti ya vyuo vya bongo ipo kwenye majina tu wanafunzi wale wale.......
 
Mkuu huyo asikudanganye SAUT bado wanatumia grade za seminary za
80-A, 70-B+, 60-B, 50-C kwa mwaka wa nne law na Engineering ila kuanzia mwaka wa kwanza mpaka wa tatu kwa faculty zote wanatumia mfumo wa kawaida wa serika, nina dogo yupo pale anasoma law. Hivyo kwa grade hizi lazima uwe nondo tu.
Faculty zote grades zipo sawa mkuu
 
Saut IPO vizuri hasa ufundishaji kicontent(wapo realism sana) kuanzia kutengeneza course works mpaka u.e pia grades zao zipo juu kuliko vyuo vya serikali, udsm ilikuwa zamani lakini sasa wapo ki-idealism sana watu wapikapika tu matokeo..no disco kivile
Mfano maridhawa chukua graduate wa saut na graduate wa udsm upande wa sheria( law department) then fanya assessment utapata jawabu yupi yupo deep na competent katika fani ama ndaki take.
Kwa upande wa sheria SAUT nakubaliana na ww, lkn mengine olaaa!!!! Kabisa
 
1127269
 
Mass communication hakuna chuo Kama SAUT afrika mashariki na Kati nayo unakataa?

Public relations and marketing hakuna chuo kinachofanya vyema Kama SAUT

Hakuna chuo kinachotoa waalimu Bora wa Sanaa Kama sauti
 
Mkuu huyo asikudanganye SAUT bado wanatumia grade za seminary za
80-A, 70-B+, 60-B, 50-C kwa mwaka wa nne law na Engineering ila kuanzia mwaka wa kwanza mpaka wa tatu kwa faculty zote wanatumia mfumo wa kawaida wa serika, nina dogo yupo pale anasoma law. Hivyo kwa grade hizi lazima uwe nondo tu.
Unondo unapimwa kwenye grades boss?Nikueleze tu ata chuo kiwe bora kiasi gani kama mwanafunzi hatakuwa tayari kuonesha bidiii binafsi basi jua lazima ataonekana wa ovyo tuuu.Mfano mimi nilipitia katika mazingira ambayo hayakuwa rafiki huko OLevel lakini niliweka juhudi binafsi na hatimaye nikaingia ALevel na kusoma kidato kimoja na waliotoka mazingira bora lakini na bado nikatoka poa pia compared na hao waliotoka mazingira bora.

Kwa sasa hakuna maana ya kubishana ubora wa chuo maana vyuo vyote vipo Tanzania,cha maana hapa ni kujadili ni kwa jinsi gani kama wasomi mnaenda kusaidia Watanzania huko mtaani.Kama waandisi basi muende kujenga majengo imara na si blah blah za vyuo na kama wanasheria nendeni mkasaidie raia huko vijijni ambao hawajui ata haki zao za msingi.

Nchi hii ni changa bado mkianza kubishana nani kasoma wapi kipi ni chuo bora huko makazini mtaanza jitenga na kufifisha maendeleo ya nchi.
 
Sikumaanisha unondo kwenye hiyo thread nilijaribu kutoa ufafanuzi wa grade za SAUT.
 
Sasa unaona huu ndio utumbo wenyewe ndio maana vyuo vyao ambavyo ni branch ya SAUT vimefungiwa kwa sababu hiyo walitaka sifa eti kila mkoa kuwa na chuo sasa naona wameangukia pua baada ya Tcu kufunya ukaguzi wakakuta madudu mengi
Nina jamaa yangu aliajiliwa pale kama ni degree holder alikuwa anafundisha akiwa anamsaidia course instructor mwenye masters tu
 
Sasa unaona huu ndio utumbo wenyewe ndio maana vyuo vyao ambavyo ni branch ya SAUT vimefungiwa kwa sababu hiyo walitaka sifa eti kila mkoa kuwa na chuo sasa naona wameangukia pua baada ya Tcu kufunya ukaguzi wakakuta madudu mengi
Mbwembwe tu,mleta Uzi ukweli anaujua vizuri tu,matawi ya udsm duce na mkwawa Iringa amewahi sikia ujinga wa kufungia?
 
Huyu jamaa ni mtu wa kupuuzwa labda kaanzisha uzi kwa ajili ya kukipigia chuo cha SAUT promo lakini hajayasoma mazingira na hapo ndipo alipofeli
Udsm hakuna kama Udsm Tz wala hawajawahi kupitwa na chuo chochote cha ndani kwa upande wa Elimu bora

Kama ni afisa habari wao kama wale wasemaji wa timu za Kkoo atakuwa sahihi tu maana huwa wanasifia na kutetea vitu vingine ambavyo havina kichwa wala miguu
 
Huyu jamaa ni mtu wa kupuuzwa labda kaanzisha uzi kwa ajili ya kukipigia chuo cha SAUT promo lakini hajayasoma mazingira na hapo ndipo alipofeli
Udsm hakuna kama Udsm Tz wala hawajawahi kupitwa na chuo chochote cha ndani kwa upande wa Elimu bora
Nawashangaa hiyo elimu Bora Ni ipi?
Hii ya hawa wanafunzi wasiojua kitu wakiwa field?
Au elimu wewe unaitazama kwa historia?
 
Mkuu embu kuwa muadilifu acha kufanya Generalization kwamba '' wanafunzi wasio jua kitu wakiwa field'' hili sio sawa na niuongo wako wa wazi kama unachuki zako zisifikie kiasi hicho

Ungesema kuwa baadhi ya wanafunzi wanaweza kuzidiwa na wa SAUT kidogo ingesound nasio kama unavyotaka kutuforce tukubaliane na mawazo yako mgando

Embu acha uwo ujinga wako kama ulidisco Udsm ukaenda kwenye chuo chenu cha SAUT basi usitulazimishe kuamini utumbo wako
Nawashangaa hiyo elimu Bora Ni ipi?
Hii ya hawa wanafunzi wasiojua kitu wakiwa field?
Au elimu wewe unaitazama kwa historia?
 
Huyu jamaa sjui amekula maharage ya wapi hahahaha yaani unataka ulinganishe chekechea kwa form six hahaha unahangaika xana mkuu UDSM will remain the best not in Tanzania jamaa Africa nzima na Ulimwenguni kote ww pamban na akina Juko,ruko sio level za UDSM
 
Back
Top Bottom