Machache kuhusu vyuo vya SAUT na UDSM

Machache kuhusu vyuo vya SAUT na UDSM

Seminary gani zinafanya hivyo.

Maana seminary huchukua the brightest
Who said and lied to you

I was the seminarian nimepitia mchujo wa kua mseminari alot of wanafunzi wanaofanya mtihani wakitokea kafaulu kachaguliwa seminary na at the same time kachaguliwa special school wengi huenda special school na ndio maana seminary hua wanaweka watu wa reserve kwenye machaguo yao na baada ya hapo hua tunakuja kuwanyoosha tu kwenye pepa pamoja na special school zao
 
Walishazishusha. Zipo kama za vyuo vya serikali
Pale zilizo kama vyuo vya serikali Ni kwa faculty of Law na engineering TU lakini course zingine zimepunguzwa ila hazilingani na vyuo za serikali
 
Kuna vitu mpaka vinasikitisha kiukweli, yaani mtu mpaka unatoka mishipa ya shingo unakomaa SAUT ni bora kuliko UDSM..!!!?? Kwa lipi hasa? Ubishani kama huu unamfanya mtu adharaulike tu hakuna namna, SAUT inabidi muelewe kuanza kujilinganisha na UDSM muda huo bado saaana.
Nikujipotezea muda tu,Sauti nadhani hata Mzumbe tu hawaifikii,anyway nayeye kaanzisha Siredi
 
Mbona udsm inakutesa sana mkuu? Ongeza bidii angalau siku moja ukasome pale kuliko kulalamika ila kama vigezo vinagoma acha kupiga kelele
Nilichaguliwa pale

I was multiple selected niliacha kwenda Nianakili Sana matokeo yangu ya A-level ninasoma chuo chochote duniani
 
Who said and lied to you

I was the seminarian nimepitia mchujo wa kua mseminari alot of wanafunzi wanaofanya mtihani wakitokea kafaulu kachaguliwa seminary na at the same time kachaguliwa special school wengi huenda special school na ndio maana seminary hua wanaweka watu wa reserve kwenye machaguo yao na baada ya hapo hua tunakuja kuwanyoosha tu kwenye pepa pamoja na special school zao
Utakuwa ulifukuzwa sio bure.

Seminary huchukua the brightest full stop.
 
Pale zilizo kama vyuo vya serikali Ni kwa faculty of Law na engineering TU lakini course zingine zimepunguzwa ila hazilingani na vyuo za serikali
Ninakuambia hivyo maana nimemaliza pale last year. No research no right to speak!
 
Ubora wa Elimu ya chuo huangaliwa kwa vigezo vifuatavyo

1 #of Prof & Doctors

2 Academic excellence

3 Facilities kama library, laboratories nk

Sasa kwa uchache ukiangalia vigezo hivyo SAUT inaizidi UDSM kwenye kipengele gani ¿ ikiwa hao malecturers wenu wengi ni product ya UDSM alafu SAUT ni rahisi kukuta main course Instructor kuwa ni Masters holder kitu ambacho kinashusha ubora wa elimu ya chuo
Nina jamaa yangu aliajiliwa pale kama ni degree holder alikuwa anafundisha akiwa anamsaidia course instructor mwenye masters tu
 
Mbona simjui hata mmoja
*Hawamulikwi na kamera
*Hawajihusishi na siasa

Nina hakika hakuna wakili anajulikana nje ya mazingira yake Kama hahusiki na hayo mambo mawili ndio maana peter kibatala na jebra kambole wanajulikana

Siku hizi unamskia msando? Humsikii kwa sababu kaachana na CHADEMA kaenda CCM na Hana kesi itakayomfanya kamera immulike but zunguka Kanda ya ziwa utakuta majina ya hawa watu na zaidi wengi wanafly every week to dar Kwenye ofisi zao kwa clients wao
 
Nina jamaa yangu aliajiliwa pale kama ni degree holder alikuwa anafundisha akiwa anamsaidia course instructor mwenye masters tu
But wanafunzi wanaotoka pale wako very competent zaidi ya waenda fiesta wa UDSM
 
Ndio....unaweza kua na mwalimu anajulikana lkn how mnapangilia masomo yenu yawe modern na mazingira linakua tatizo

Umeuliza product za SAUT
✓Dr.Neema mwita
✓Dr.Magogo
✓ Adv.Davis Muzahula
✓Dr Masanja
✓Adv Muna
✓Adv Chiku chande
✓Adv Jackson Katabalo
✓Adv Syllivia
To mention a few

Kiongozi ina maana bado Watu hawajakuamini tu kuwa kwa sasa nchini Tanzania hakuna Chuo Kikuu bora na mahiri kwa Uzalishaji Wanafunzi wenye uwezo mkubwa wa Kiakili, Mbinu na Ujuzi? Mimi sijasoma hapo ila nahangika sasa nimalize Kidato changu cha Nne na cha Sita kisha nami nikasome huko SAUT Mwanza kwani kupitia sehemu mbalimbali nimekuwa nikiwasikia Watu wengi ( intellectuals ) wakikisifia na kukipongeza. Halafu Kiongozi nasikia eti hapa Mkoani Dar es Salaam kuna Chuo Kikuu chenye Ubatizo mpya wa Chuo Kikuu cha Wapumbavu, je unajua kipo upande gani wa Jiji ili nami niweze Kukijua na ikiwezekana niwatahadharishe na Wanafunzi wengine wasithubutu kwenda Kupata Elimu zao hapo?
 
Ninakuambia hivyo maana nimemaliza pale last year. No research no right to speak!

Yawezekana ukawa unaongea na mtu alieko pale wewe umesepa na alieko karibu na academic block na administration block kwa Prof mahalu ila unabisha tu
 
Ni mtazamo wako Mzee baba...Mimi mlnilipiga udsm lakini nilipofika saut nilisanda a see..pia wana course nyingi sana I mean mpaka umalize chuo kwa miaka mitatu ni unit 57+ kutegemea na faculty uliyopo wakati udsm ni units 36+ na hazivuki 50
Sema mshike mshike ndo ulikushinda Mkuu na hujawahi pita udsm maana hata hizo units si sawa
 
1127068
 
Yawezekana ukawa unaongea na mtu alieko pale wewe umesepa na alieko karibu na academic block na administration block kwa Prof mahalu ila unabisha tu
Kama zimebadilishwa baada ya sisi kumaliza last year, ninakubaliana na wewe!
 
Idealism vs realism!!? Ngoja nicheki hii mechi inavyoenda hivi UDSM kimeshatoa madaktari wangapi? Manake PHYSIOLOGY ya MUHAS inaniuwa.
 
Back
Top Bottom