Scolari
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 1,723
- 2,424
Ni lazima tukiri kwamba UDSM Ni chuo chenye historia kubwa ambayo imekipatia heshima chuo hiki mbali na historia kuilinda hadhi na heshima huleta maana ya historia UDSM wameshindwa kumudu kuilinda hadhi na heshima ya chuo kwa sasa yafuatayo Ni machache ya SAUT na UDSM
Wanafunzi wa SAUT ni very competent kuliko wanafunzi wa UDSM
✓UDSM imeharibiwa na siasa waalimu Bora wameenda kwenye siasa bila kuandaa waalimu Bora wa kurithi
✓SAUT iko very strategic to the moment naibu waziri wa elimu alitamka mwenyewe alipofanya ziara pale SAUT nilimtazama kupitia runinga akitamka mwenyewe kwa mdomo wake kwamba SAUT kwa taaluma kwa Sasa iko Bora Sana Tanzania
✓Nenda school of law tazama idadi ya mawakili wanaomaliza wengi wao wamesoma chuo kipi,bila uongo wengi wanatoka SAUT
✓SAUT ina fundisha multi-skills na co-relating subjects kwa kozi anazosoma mwanafunzi kitu kinachomfanya mwanafunzi kua competent
UDSM kwa Sasa sio ile ya zamani CCM na siasa vimeimaliza UDSM
UDSM ilikua enzi hizo tulia ackson na Prof kabudi wanafundisha
Kilichobaki kwa Sasa ni jina na si hadhi ya UDSM