Machache kuhusu vyuo vya SAUT na UDSM

Machache kuhusu vyuo vya SAUT na UDSM

Wewe na naibu waziri mtakuwa mmesomea huko huko SAUT. Tuache kubishana bure, leta hapa University rank in Afrika 2017 na 2018 ili kuthibitisha ubora wa SAUT dhidi ya UDSM. Mpaka sasa, hakuna chuo binafsi Tanzania kinachoweza kushindanishwa na vyuo vya Umma.
Hili limekaa vipi mkuu maana kwa level ya primary na sekondary shule binasfsi zinakimbiza hasa hizi za seminary, sasa kwa level ya chuo wanakwama wapi? mpka waanze kufanya vibaya dhidi ya vyuo vya serikali hasa kwa chuo kama SAUT kinachomilikiwa na haohao Waseminary maaskofu wa kanisa katoliki.
 
Saut ni noma asee, warumi hawana mzaha katika masuala nyeti kama elimu,afya na mengineyo mtambuka..
Hawajali pesa yako wao wanajali ubora tu na sio ajabu kama ushawahi kuhudhuria hata mahafali ya pale saut hasa main campus kukuta wanafunzi 1000+ wameshindwa kugraduate kwa sababu ya:-
-Supplimentary,
-Kukopy research,
-Udanganyifu wakati wa final examz kama vibuti( kuzama na kidesa),
-Ama kumpigiwa pesa na MTU mean unakaguliwa mnapita lakini kwenye answer sheet unaandika namba ya mdau unaempgia paper.
Hiyo ya kushindwa kugraduate naweza kukwambia sababu, wale wanachukuaga hadi wanafunzi waliofeli, darasa letu waliofeli wengi walienda SAUT na TEKU
 
"Mtu akikuambia jambo la kipumbavu huku akifahamu kuwa unajua ni la kipumbavu lakini ukalifuata, ANAKUDHARAU". (Mwl. Nyerere). Tangu lini naibu waziri amekuwa kipimo cha elimu? Ama kweli una elimu ya kiwango cha Kata! Nimekudharau. SAUT na UDSM wapi na wapi? = Simba na Paka = Mlima na Kichuguu. Kajifananishe na Sebastian Kolowa, Makumila nk. Hata wahadhiri wenye sifa hamna! Wanafunzi wenyewe pia ni makapi baada ya kukosa sifa ya kujiunga UDSM, SUA, MZUMBE, ARDHI, nk.
Mkuu usiwadharau sana SAUT, hawa warumi huwa wanatabia yakuchukua wanafunzi walikosa nafasi shule za serikali na kuwafanya kuwa bora refer seminary zao huchukua wale wazuri na wale waliokosa sifa za kujiunga na shule za serikali lakini mwisho wa siku shule zao ndio hufanya vizuri.
 
Kwa hili tu inatosha kuonyesha kuwa hujui chochote juu ya udsm. In terms of course units, the minimum kwa course za miaka 3 ni 90 na sio 36+ kama unavyosema.
Yaani kwa semester minimum 12 halafu miaka mitatu minimum ndio ziwe 36 daah watu wengine huwa hata hawafikirii wanachoandika
 
Ha haaaaa....wasomi wa UDSM ni mdebwedo sana kwenye performance, yaan hao wasipoajiriwa wanayumba sana mtaani, wapo vizuri kwenye kukariri lakn kutumia walichokikariri ndo zero , simple logic watu wa VETA na DIT wapo vzur sana kuliko hao wa UDSM, leo hii huwez kuta mtu wa UDSM katengeneza hata chopa la makaratasi , lakn watoto wa MUST au Arusha tech kila sku wanachafua hali ya hewa ......
Miradi mikubwa , midogo na ya kati, ambayo ni private ownership hapa bongo imebuniwa na vijana wa kitaa tuu, na wamesomea vyuo vya uchochoroni, wasomi wa UDSM ni mbeleko ya serikali ...wakija mtaa wengi hutema ulimi mpak unawaonea huruma...

JPM ataendelea kuwatimua kazi sana maana ni mizigo hasa hawa watu
 
Angalia cutt off points za kuingia Degree ya sheria SAUT na cutt off points za kuingia LAW UDSM!
kuhusu kufaulu LAW SCHOOL UDSM wanafanya vizuri kuliko SAUT, usiangalie idadi ya MAWAKILI unaokutana nao mitaani SAUT kina wanafunzi wengi Sana aisee unaweza ukakuta pale LAW SCHOOL darasa la watu 600, Kati yao 90 wametoka SAUTI
 
TCU naona iliharibu heshima za vyuo na haya ni matokeo ya TCU ila ukweli UDSM huwezi ilinganisha na SAUT. Atleast ningeona battle ya UDSM vs Mzumbe, SAUT vs St. John, TIA vs IFM, DIT vs MIST (Sijui inaitwaje sasa)... etc
 
Hivi hawa SAUT si ndo wanatawi Iringa wanajiita RUCU...!??

MTOA MADA ACHA UPUMBAVU...
SIKIO HALIWEZI KUZIDI KICHWA
 
😀😀😀😀😀
Hivi hawa SAUT si ndo wanatawi Iringa wanajiita RUCU...!??

MTOA MADA ACHA UPUMBAVU...
SIKIO HALIWEZI KUZIDI KICHWA
Ilikuwa zamani mkuu ambapo iliitwa RUCO kwa sasa ni chuo kikuu na si kishioriki kama ilivyokuwa awali.Ila ni zao
 
Hiyo ya kushindwa kugraduate naweza kukwambia sababu, wale wanachukuaga hadi wanafunzi waliofeli, darasa letu waliofeli wengi walienda SAUT na TEKU
Mtoa mada mwenyewe alikuwa na ndoto za kusoma Chuo kikuu cha taifa baada ya kufeli ndo akakimbilia uko kwenye vyuo vya kata.

Vyuo karibu vyote Tanzania vimejengwa kwa misingi ya walimu wa udsm.

Pia wanafunzi wengi waliofaulu vizuri 97% option yao kwanza huwa ni udsm 3% sokoine, mzumbe, udom.

Waliofeli Machaguo yao Saut,Makumira,Cbe, nk
 
Ni kweli aisee asilimia kubwa (sio wote) huwa wanaenda huko baada ya kukosa nafasi vyuo vya serikali

Imebidi mpaka nika muangalie mkuu wa chuo cha SAUT profesa mahalu ni zao la Udsm kasoma sheria udism na kafundisha udsm na sasa ndio mkuu wa st Augustine university

Screenshot_2019-06-14-09-13-25.png
 
Saut IPO vizuri hasa ufundishaji kicontent(wapo realism sana) kuanzia kutengeneza course works mpaka u.e pia grades zao zipo juu kuliko vyuo vya serikali, udsm ilikuwa zamani lakini sasa wapo ki-idealism sana watu wapikapika tu matokeo..no disco kivile
Mfano maridhawa chukua graduate wa saut na graduate wa udsm upande wa sheria( law department) then fanya assessment utapata jawabu yupi yupo deep na competent katika fani ama ndaki take.
Huyo mkuu wa chuo cha sauti profesa mahalu shahada yake ya kwanza na ya Pili ya sheria kasomea udsm, na ndio bingwa wa sheria aliyebobea hapo chuoni kwenu saut.

Law school walimu wanaofundisha ndio wanaofundisha sheria udsm pia: na hata wale ambao sio walimu kwa sasa hapo law school ni udsm alumni.

Sasa utasemaje wa udsm wapo shallow?
Embu nitajie mawakili wasomi unao wajua ambalo ni zao la saut tuwalinganishe na waliosoma udsm
 
Kwa hili tu inatosha kuonyesha kuwa hujui chochote juu ya udsm. In terms of course units, the minimum kwa course za miaka 3 ni 90 na sio 36+ kama unavyosema.
Wanazitoa wapi hizo wakati kwa semister moja Wana course 4-7 tu
 
Angalia cutt off points za kuingia Degree ya sheria SAUT na cutt off points za kuingia LAW UDSM!
kuhusu kufaulu LAW SCHOOL UDSM wanafanya vizuri kuliko SAUT, usiangalie idadi ya MAWAKILI unaokutana nao mitaani SAUT kina wanafunzi wengi Sana aisee unaweza ukakuta pale LAW SCHOOL darasa la watu 600, Kati yao 90 wametoka SAUTI
hiyo law school ya koromije labda sio hii ambayo tuko nao Hawa wanaohangaika hapa zaidi ya kukifanya wajuaji kumbe wako Chaka
 
Huyo mkuu wa chuo cha sauti profesa mahalu shahada yake ya kwanza na ya Pili ya sheria kasomea udsm, na ndio bingwa wa sheria aliyebobea hapo chuoni kwenu saut.

Law school walimu wanaofundisha ndio wanaofundisha sheria udsm pia: na hata wale ambao sio walimu kwa sasa hapo law school ni udsm alumni.

Sasa utasemaje wa udsm wapo shallow?
Embu nitajie mawakili wasomi unao wajua ambalo ni zao la saut tuwalinganishe na waliosoma udsm
Hivi wanafunzi kufundishwa na walionora ndio kua Bora?

Nimekuambia kwa Sasa mwanafunzi wa mwaka wa tatu Sheria wa SAUT ukimuweka na wa UDSM wa UDSM anaonekana Yuko very shallow tunachokopima hapa si historia ya chuo ila tunatazama ubora wa wanafunzi naona wengi mmekazana kueleza historia na Nani anafundisha na sijui imekua vipi
 
😀😀😀😀😀

Ilikuwa zamani mkuu ambapo iliitwa RUCO kwa sasa ni chuo kikuu na si kishioriki kama ilivyokuwa awali.Ila ni zao
Mabadikiko ya majina tu kutokaa na expansion.. utawala na owers na operations.. The same.
 
Huyo mkuu wa chuo cha sauti profesa mahalu shahada yake ya kwanza na ya Pili ya sheria kasomea udsm, na ndio bingwa wa sheria aliyebobea hapo chuoni kwenu saut.

Law school walimu wanaofundisha ndio wanaofundisha sheria udsm pia: na hata wale ambao sio walimu kwa sasa hapo law school ni udsm alumni.

Sasa utasemaje wa udsm wapo shallow?
Embu nitajie mawakili wasomi unao wajua ambalo ni zao la saut tuwalinganishe na waliosoma udsm
Na zaidi Sana zamani afrika mashariki na Kati ukitoa makelele chuo kolichotoa degree ya Sheria kilikua udsm pekee na ndio maana katiba wakati ule ilisema mwanasheria atakua Ni yule tu aliehitimu shahada ya Sheria ktk chuo kikuu Cha dar na hivyo hiyo hoja ya kusema waliosoma zamani ndio chuo kiwe Bora Ni jambo la kihistoria na zaidi kwa wakati huo udsm ndio ilikua Bora na SI Sasa hivi ambapo mwanafunzi wa mwaka wa tatu akikutana na second year SAUT anaonekana hajui vitu vingi the thing you are not aware of Ni kwamba attorney general bwana kilangi alipikua dean of faculty wa law pale SAUT ndio alietengeneza na kushape law faculty kua ya kisasa zaidi kuliko chuo chochote Tanzania
 
Hivi wanafunzi kufundishwa na walionora ndio kua Bora?

Nimekuambia kwa Sasa mwanafunzi wa mwaka wa tatu Sheria wa SAUT ukimuweka na wa UDSM wa UDSM anaonekana Yuko very shallow tunachokopima hapa si historia ya chuo ila tunatazama ubora wa wanafunzi naona wengi mmekazana kueleza historia na Nani anafundisha na sijui imekua vipi
Nitajie mawakili bora vijana wa sasa wa miaka hii ya karibuni unayoisemea marufu unao wajua na Mimi nikutajie pia acha porojo
 
Nitajie mawakili bora vijana wa sasa wa miaka hii ya karibuni unayoisemea marufu unao wajua na Mimi nikutajie pia acha porojo
Ubora kwa uwanda upi?

Kuna waalim wanafundisha pale SAUT wanarekodi za kutoshindwa kesi zozote mahakamani ila unaowahitaji wewe Ni wale walijiingiza kwenye siasa na kumulikwa na kamera wakiwatetea kina tundu lissu wanakamatwa na serikali kila kukicha
 
Back
Top Bottom