Scolari
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 1,723
- 2,419
- Thread starter
- #41
UDSM elimu yote imekwisha kilichobaki pale Ni jina tu"Mtu akikuambia jambo la kipumbavu huku akifahamu kuwa unajua ni la kipumbavu lakini ukalifuata, ANAKUDHARAU". (Mwl. Nyerere). Tangu lini naibu waziri amekuwa kipimo cha elimu? Ama kweli una elimu ya kiwango cha Kata! Nimekudharau. SAUT na UDSM wapi na wapi? = Simba na Paka = Mlima na Kichuguu. Kajifananishe na Sebastian Kolowa, Makumila nk. Hata wahadhiri wenye sifa hamna! Wanafunzi wenyewe pia ni makapi baada ya kukosa sifa ya kujiunga UDSM, SUA, MZUMBE, ARDHI, nk.
Wanafunzi wao wakienda fieldwork wanaonekana wako poor na shallow
