Mabro na swali

Hapo kwa bwana nguzo ndo ningefungua jalada la kesi yangu. But ndugu ni ndugu tu me ningedili na mke. Usijali bwana nguzo labda ni utoto tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…. Ila nguzo🀣🀣🀣
Mimi namuita shupiwe ila hajui kwanini na ajui kama najua wananiita nguzo
 
Dogo unanipa hasira lala
Kuweni na amani Mabroo, mnaumiza sana vichwa huko changanyikeni kutafuta pesa, kwahiyo majukumu madogo kama ya kumchekesha wife, kumfanya kuwa happy, tuachieni madogo bhana πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mfano mdogo wako wakiume ana ukaribu sana na mkeo yaani unakuta jikoni wanapiga story mpaka wanacheka ile mbaya ila mkeo akirudi chumbani mnacheka kiasi tofauti na akiwa na mdogo wako utachukua hatua gani?
Kwan humuamin kaka Yako jmn
 
Dogo yuko idle sana anzisha bustan apo nyumban dogo akitoka Shule ni kumwagia weka mifugo ng'ombe akirud akakate nyasi au kulisha kuku
 
Huenda ukawa huumpi mkeo muda wa kutosha pindi anapokuhitaji na badala yake ameiona fursa ya muda kwa mdogo wako,punguza ubize ndugu yangu.

Au kama una Haiba ya ukali,kutokuongea nae mara kwa mara juu ya maswala mbalimbali hasa yanayolenga familia yenu inakubidi uanze kufanya hivyo ili kumkeep close mkeo .

Then acha kuwa na mawazo hasi juu ya ukaribu wa mkeo na mdogo wako maana utajikuta unataka kufanya maamuzi ambayo siyo sahihi kwa mkeo na mdogo wako(Build a positive perception concerning their closeness).

Kama ukithubutu kumzingua mkeo/Dogo wako juu ya swala hilo,trust me kwamba unakaribia kujenga familia yenye mpasuko na isiyokuwa na upendo uliokomaa.

"USIJARIBU KUUENDEA KWA PUPA MTEGO UNAOHITAJI AKILI".
 
Dogo yuko idle sana anzisha bustan apo nyumban dogo akitoka Shule ni kumwagia weka mifugo ng'ombe akirud akakate nyasi au kulisha kuku
Kumtesa kijana sasa uoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…