Mabro na swali

Mabro na swali

Mfano mdogo wako wakiume ana ukaribu sana na mkeo yaani unakuta jikoni wanapiga story mpaka wanacheka ile mbaya ila mkeo akirudi chumbani mnacheka kiasi tofauti na akiwa na mdogo wako utachukua hatua gani?
Tatizo unatumia muda mwingi jikoni kupika mavyakula. Acha huyo dogo ajilie tu unyumba Poor Brain
 
Back
Top Bottom