Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

mabro wa kitambo walikua conscious sana hata story za maskani zilikua very intellectual wahuni wanakula bange huku wanabadirishana vitabu
Sisi tulikuwa tunafundishana kama hapo Y-Thang alikuwa ananifundisha mimi kuhusu Ben Carson.

Leo unasikia Y-Thang daktari unaona kabisa huyu mtu aliupenda udaktari tangu shule.

Sasa kuna wale makaka wakubwa kabisa kama kina Balozi Maharage nao enzi zao Upanga walikuwa smart sana, ukiwakuta mara zote wako smart wana vitabu, mara wana Newsweek maskani wanajadili uchaguzi wa Marekani.

Baadaye unasikia balozi Maharage kawa Mkuu wa Itifaki unaona huyu kaka alikuwa anapenda haya mambo ya International Relations tangu mdogo.
 
Kweli mkuu
 
Sikupiga chata ...ila nilikua mtu amabaye naeza kukaa na masela na mabishoo ...yani kwenye usela na uhuuni nipo tena naheshimika na ukija kwenye ubishoo nipo naniheshimika na wote hao
Kwa wale wa miaka hiyo....Mzimu wananifahamu 🤣🤣😂😂....,...Daaah maisha ya uptown bhana...kidogo unga unipoteze mazima...Nawashukuru sana mabraza kwa kunipigania
 
Pole sana mie pamoja na kukaa na wahuni, wauzaji unga ,chalasi, na wakanipa hadi niwe nazungusha mtaani ila sijawahi jaribu hata kdg

Mie muhuhi msela ila sifuati makundi huwa niko mm km mm , mpk huwa wanahisi mie ni spy ..maana sehemu zote hatari nafika ila sijihushi na chochote na hii toka Azania
 
Ujana maji ya moto.....kila kitu unataka kujaribu
 
Back
Top Bottom