Dah,
Nimefurahi sana kukutana nawe hapa.
Your father was such a gentleman.
Alituunganisha vizuri sana vijana wa Dar hususan kwenye Yo Rap Bonanza.
Nilikuwa nakuja mpaka kwake pale mjini, tunakaa, tunapanga shows zitakuwaje.
Watu wengi, wengine wana jazba sana, basi yeye anawatuliza wote poa tu, anawaambia show itaenda vizuri tu. Na hakuna kitu kinachoharibika, kweli anai control show vizuri despite watu wengi wenye ego kumzonga muda wote since it was such a big competition.
Kim alikuwa mtu poa sana.
Kama kuna documents, videos, audios itafaa kuziweka pamoja kutengeneza documentary au kitabu. Watu wengi watajifunza na kufurahia.
RIP Kim.