Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,647
- Thread starter
- #221
Tatizo la charles alikua hajichanganyi na masela.....🤣🤣🤣Enzi za hard Rock cafee na brother Charles Mbowe
Tatizo la charles alikua hajichanganyi na masela.....🤣🤣🤣Enzi za hard Rock cafee na brother Charles Mbowe
Sijui mpaka niwaulize mabrazaHatari sana yule mtu..hivi yuko wapi Mwamba yule..
Dogo yupo anaimba bongo flavor.....Hivi yule dancer small jobiso yuko wapi
Halafu nilikuwa kwetu mikoani huko kabla sijaja mjini na lori la mizigo 🤣🤣🤣Naona kama hz story tunakuacha mbali mdogo wangu 🤣🤣🤣
Nyakati zimekimbia saana hamna Teena inspiration kama hizo.Enzi hiyo Sugu ndiyo anaingia mjini kakaribishwa na "Dar Young Mob".
Nakumbuka kuna siku nimekaa maskani Tambaza na Yusuf "Y-Thang" wa Kwanza Unit , alikuwa na kitabu cha Ben Carson kinaitwa "Gifted Hands".
Nikamuuliza, huyu Ben Carson ni nani? Akaniambia huyu ni daktari mmoja, surgeon bingwa Mmarekani mweusi, amekulia ghetto kapanda juu mpaka kawa daktati bingwa hospitali maarufu ya Johns Hopkins ya Baltimore Maryland.
Y-Thang hapo yuko A- Level anasoma PCB Tambaza, lakini anasoma mpaka nje ya box, ananiambia anataka kuwa daktari wa magonjwa ya wanawake.
Yani tangu zamani masela wanakaa maskani wanaongea vitu vya kulenga career goals, kusoma, na vitu kama hivyo.
View attachment 2856069
Sasa hiyo siku naikumbuka maana bi mkubwa alienda kwa show akiwa na mimba ya mdg wetu wa mwishoDogo yupo anaimba bongo flavor.....
Kofii akimchezesha show za bure afu hakumlipa........🤣🤣😊😊
UNAKUMBUKA SIKU BONGO MAN ALIPOJAZA TAIFA MPAKA FIRST LADY AKAENDA..,.🤣🤣🤣
Show ambazo siwezi sahau nilienda na bi mkubwa ilikua ile ya kanda bongo man na ziara ya winnie Mandela pale diamond jubileeDogo yupo anaimba bongo flavor.....
Kofii akimchezesha show za bure afu hakumlipa........🤣🤣😊😊
UNAKUMBUKA SIKU BONGO MAN ALIPOJAZA TAIFA MPAKA FIRST LADY AKAENDA..,.🤣🤣🤣
Weka muendelezo tu.Sahivi mambo yamebadilika na kuna sisi vijana wengine tunatengeneza historia yetu
Acha uongo sistaHalafu nilikuwa kwetu mikoani huko kabla sijaja mjini na lori la mizigo 🤣🤣🤣
Dada upo 🤣🤣😂Ndo pale unapohisi id ya kaka
Ni kweliWeka muendelezo tu.
Hatuwezi wote kutoa stories za Pink Coconut na Sugar Rays tu.
Mkuu kanda bongo man ilikua noma.Show ambazo siwezi sahau nilienda na bi mkubwa ilikua ile ya kanda bongo man na ziara ya winnie Mandela pale diamond jubilee
Sisi wakuja haijalishi tumekuja na usafiri gani, hata punda cha msingi tuko mjini.Acha uongo sista
DuuuSasa hiyo siku naikumbuka maana bi mkubwa alienda kwa show akiwa na mimba ya mdg wetu wa mwisho
Ww wa kishuaSisi wakuja haijalishi tumekuja na usafiri gani, hata punda cha msingi tuko mjini.
Time changeNyakati zimekimbia saana hamna Teena inspiration kama hizo.
Kipindi hicho madaktari muhimbili wamegoma,Rais Mwinyi kaenda kumpokeq Airport hapo katoka kufukuzwq kenyaMkuu kanda bongo man ilikua noma.
Mji ulisimama
Kumbe ww jirani yetu 😂😂Mama wa kimanyema na luba ,anaachaje kwenda kumuona kanda bongoman
Mzee ww old skulKipindi hicho madaktari muhimbili wamegoma,Rais Mwinyi kaenda kumpokeq Airport hapo katoka kufukuzwq kenya