mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 257
Mzaha mzaha hutumbua usaha........
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu...
Usipoziba ufa utajenga ukuta...
Ni heri shari ndogo kuliko shari kamili...
Mzarau mwiba mguu huota tende.....
Hizo ni baadhi ya methali za kiswahili ambazo zilitolewa na wahenga wetu miaka mingi ilopita lakini zinafanya kazi mpaka sasa
Katika siku za karibuni tumeshuhudia mambo ya kutisha hapa nchini.....
>watu kupewa sumu
>watu kumwagiwa tindikali
> Watu kungolewa kucha na meno bila ganzi
> watu kuuawa kama kina Mwangosi na viongozi wa dini...
> mauaji ya wafuasi wa vyama...
Zaidi ya hayo kumekuja matukio ya kutisha zaidi ambayo yanahatarisha uhai wa amani yetu! ''NAYO NI MABOMU''
Tanzania sasa imekuwa Mabomu mabomu mabomu ....Watanzania tunaelekea kubaya......!!!
Tuombe mungu haya mambo yasisonge sana .........vinginevyo hizo methali hapo juu zitajijibu