Mabomu yatembezwa Nyampulukano - Sengerema

Mabomu yatembezwa Nyampulukano - Sengerema

Ukiuona utawala unatumia hila kutawala jua mwisho wa utawala huo ndio unawadia.

yaani pamoja na kugaragazwa kote huko uchaguzi wa madiwani bado mnajipa hope kuwa ccm wanaanguka? kweli akili za BAVICHA ni janga la taifa
 
jamani kata ya Lugata alikua angombea Adrian Tizeba kupitia CDM matokeo yakoje naona hakuna anayezungumzia huko. Nasikia ndugu zake wengi waliamua kuegemea upande wa waziri tizeba na kumpigia kampeni mgombea wa CCM na kumponda ndugu yao
 
sengerema ccm wamepigwa na chadema vituo vyote kasoro kimoja nashangaa kwa nini tume imegoma kutangaza sijui wanasubiri amri ya nani?

peperusheni hayo ya kila kituo hewani.
Poleni na mungu awape nguvu na uvumilivu wa kuendelea kusubiri matokeo
 
Hata mimi nimekimbia sn tu,wizi mtupu. Ushindi kwa PIPOOOOOOOOOS PAWAAAAAAAAAAAAA Karbu sn Munwanizi. Hatuwezi kumpa udiwan mwizi mtaalam wa kufoj hesabu. Pamoja na kupigwa mabomu tumeshinda. Najiuliza swali uchaguzi wa diwan ffu,askar,magari kibao yametumia mafuta kibao gharama za wananchi,sasa ubungeje itakuwaje? sisiemu kifo cha mende,yaani siwapendi mimi kabisa.
 
Mabomu ya machozi yanapigwa muda huu,matokeo yamechelewesha kutangazwa.Watu walinataka kuvamia ofis ya mamlaka ya mjiwa Sengerema,tutaendelea kuwajulisha

Hili nililitegemea asilimia mia kabisa. Maana ngeleja aliwaambia wananchi ccm lazima ishinde na akawaaidi kwa kusema MTAONA. hii mijamaa ina viburi na dharau ya juu sana na ndio maana ninawachukia kiasi hata chakuombea wapate ajali wafe. haki ya mungu
 
Naona hakuna mwenye matokeo ya Lugata ngoja nikalale ntayapata kesho asubuhi
 
Ila mna moyo sana

Mmegaragazwa kinoma lakini bado mnajiona mko juu.
Tumia akili hata kidogo zile za wakati ule ukivalishwa nepi kwa nini sehemu ambazo CCM wameshindwa kunatokea vurugu na matokeo yanacheleweshwa kutangazwa? tatizo ni nini na hayo mabomu ya machozi kwa nini yanapigwa?
 
Sengerema nao wamegoma kuburuzwa, safi sana no kulala hadi kieleweke. Hii inanikumbusha 2010 tulikomaa ofisi za jiji Mwanza kudai haki yetu baada ya kuona hatukati tamaa wakaamua kuwatangaza washindi wetu Ndg Highness na Wenje. Pia walitaka kuzingua kata ya Pasiansi tukakomaa wakamtangaza Mama Brown kiroho safi. Komaeni hadi kieleweke alaaaaaaaa..............
 
hadi adubuhi kumekuchaje huko? mwenye hsbari karibu.
 
Back
Top Bottom