Mabloo Twitter kuna madem wakali

Kwa hiyo unatuambia akina financial service,Diana Spencer ,sakayo ,surbi,miss natafuta unskilled sio mademu,Twitter Baki huko huko ulelewe sie tunataka kulea
 
Sina hata nianchoelewa nasikia mabloo, wapwa, wakulungwa sijui wajuba naona watu wananena kwa lugha yao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una ufala mob akii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…