Mabloo Twitter kuna madem wakali

Twitter na zanga langu la parody account lina kama 35k bado wajuba hawaja lisanukia... Sema siombi hela ya nauli πŸ˜‚πŸ˜‚

kuna siku wajuba walitaka niji verify kama mm siyo parody nikawaambia wait, nilitafuta demu wangu nikamrekodi video fupi then nikaiweka PIN Post so nikawa nimemaliza game....
 
Una uelewa wowote kuhusu parody ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mpwa huwa ukitongozwa unaombaga nauli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…