benteke
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 1,305
- 1,069
Kovu lililoshonwa nyuzi mbili au tatu au hata lisiloshonwa, na linaweza kuwa popote usoni, mguuni au hata mkononi.
Hawa mabinti wanakuaga wanajiamini sana na ukimletea zengwe lazima akuadabishe.
Naongelea kutokana na uzoefu maana mabinti wa hivyo ndio ugonjwa wangu.
Na kovu sio lazima alilipata ukubwani, wakati mwingine ni kutokana na utundu wao na kujiamini kwao basi walikua wakipigana hata na wanaume wakati wako bado wanasoma secondary au primary.
Simaanishi ni mabinti wote.