tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,893
- 29,420
Ukiona wako kimya ujue wamepata walichokuwa wakikitafuta.Wakuu salam ivi hawa mabinti ambao wanaweka matangazo ya kutafuta wachumba humu wanakuwa wanatania au mbona tukiwafuata pm huwa hawajibu chochote
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app