Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,245
- 42,008
Ndiyo dearmamy ww ulipata?
Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
Ndiyo dearmamy ww ulipata?
Wasiwasi wa nini tena, wewe ndio hunitakii mema!!!nilikua na was was na ww kumbe nipo sawa aic ! haha haya! umeshinda
Wasiwasi wa nini tena, wewe ndio hunitakii mema!!!
-mikononyuma-
Kweli, nasikia kwake ukienda unapata mke mchamungu, sio wewe unataka Mr. Air anifanyie kitu mbayadawa yenu gwajima tu!
Kweli, nasikia kwake ukienda unapata mke mchamungu, sio wewe unataka Mr. Air anifanyie kitu mbaya
-mikononyuma-
Mkuu utawaponza dada zetu bure, nawasihi msijaribu hata kidogo kumpa jeraha la milele mwanaume maana hakika atakupa kilema cha mileleAlah akikupiga ,dawa yake ni hii ,siku unajifanya unamtoa out sehemu ya mbali halaf unampa jeraha ambalo hatakaa alisahau maisha yake yote,na atakoma kabisa kuchezea wanawake asiokuwa na mpango nao,dawa ya mwanaume anayechezea wanawake ni kumpa jeraha LA milele
Sure ata mitandaoni unaweza pata mtu vizuri tu maana mapenzi hayana kanuni wala hesabu ni maafikiano tu unaweza kukutana na mtu mitandaoni vizuri na mkaoanaKwani binti ukikutana nae mara ya kwanza barabarani unakuwa umeshamjua tabia zake? Sii huwa mnapendezwa na muonekano kwanza hlf research baadae? Ukishamfahamu kwani unafunga nae ndoa kwenye picha bila kuanzisha mahusiano mjuane kwanza? Hakuna utofauti wala hakuna sehemu maalum ya kukutana ili muanze uhusiano