makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,459
- 108,552
Usingeteseka mdogo wangu.. ningekujaza sumu na elimu ya kujitambua,We unajua sana! Ningepata likaka kama wewe, heartbreak ningezisikia tu! Ona sa nshakuwa sugu🤦🏽♀️
Anyways mwendo ni ule ule unafiki unatangulia kwanza😁
mapenzi ingekuwa ni burudani zaidi kuliko mateso