Mabinti wanaoikaribia 30 wana kiu kali ya ndoa

Nipo hapa
 
Naahidi kukupa penzi matata!!
 
Ni sawa sawa na kukataa kula asubuhi na mchana. Ukiahidi kuwa hautakula maisha yako yote, na ukifika usiku tu mida ya saa nne upo jikoni unapekuwa masufuria kutafuta msosi.
Sa hapo umeongea nini? We umeelewa ulichokiandika kwanza.
 
Wengi wao wanataka matajiri, wengine hawafai kuwa wife,wwngine wanawekaga vigezo vingi i.e urefu,rangi
 
Inategemea "ntu na ntu" binafsi niko na thirty two yangu safi kabisa na hakuna kitu cha kunifanya niwe desperate as long as nakula nashiba na kulala kwa amani.
Hahaha kwani unadhani wanaotaka kuolewa hawali wakashiba na usingizi hawapati..?
 
at 20...Awe tajiri,handisam,mweupe,six pack,mrefu,mcha mungu etc
at 25...Awe tajiri,handisam,mweupe,six pack
at 30...Awe mwanaume tu
at 35..Ilimradi awe anakoroma tu usiku..... [emoji1787]
.
.
.
..
.

Acha waendelee kuwaumba, ni simple logic tu wao wanajua “soko” linataka nini lakini bado walio wengi hawabadiliki kuendana na soko, wachache ambao wameshtuka ndio hao tunawachangia harusi wanaolewa kila siku!

Endeleeni kujivika umagharibi mwingiii kisha jua likizama mnaanza kujuta...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…