Mabinti wanadhani mimi ni mchaga

Mabinti wanadhani mimi ni mchaga

Inawezekana unakielement cha uchaga, hata kama sura, mwenendo hausomi kichaga.......ukimpata mwingine mwambie wewe ni Mkinga...(samahani watu wa huko)
 
Nimekosa wachumba takribani 4 sasa wakidhani mi ni mchaga baada ya kuwatokea.
Naomba kujua wachaga wanamatatizo gani?!

Mkuu tatizo liko kwako ndiyo maana unapigwa vibuti....
Hakuna wachaga waliokosa wachumba kwa sababu ya uchaga wao. ..
 
Unajistukia tu na kujitengenezea sabab za mitoso,pole sana kwa. Udomo zege wako! Tena ututake radhi wachaga hatufananii na wewe hata kidogo tafadhali
 
Kaka Jambazi mapenzi ya kuimbisha song yamepitwa na wakati!Ongea kidogo vitendo vingi!
Akija muonyeshe wekundu wa msimbazi uone kama kama atachomoa!!Thubutu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom