permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,328
- 15,037
Wachaga hawana matatizo. Ila tatizo litakua kwako wewe na kabila lako.
Mbona na mimi mchaga na kuna mademu tele wananitaka?
Wachaga hawana matatizo. Ila tatizo litakua kwako wewe na kabila lako.
Ni wabahili sanaa!!!!
How? Kwani huyo Kakajambazi ni mwanamke? Maana huyo uliyemtaja ni mwanamke na anadunda mpaka sasa.wanaogopa utawa-UFOO SARO..
nani anataka kuolewa na jambazi?
Akili zako kama za kondoo au bata
Mnatupenda ndio maana katu mada za kutuhusu haziishi, oh wachagga hivi, oh wachagga vile, wachagga bla blah. . .nimekutana na watu wengi wanaomba Mungu wakati anagawa makabila wajikute ni wachagga, so praised for our enterprenurial spirit, family love with strong ties(ushawahi sikia mchagga kakataa mtoto wake au ametupa mtoto?utaskia kwa waswahili tu na 'vyasaka' wengine), high development attitudes, investing in the future,tumesoma, kwetu kuzuri kama ulaya.
In every ten developed native tanzanians of average good wealth 6 must be from the northern circuit, hiyo 4 mnagawana tanzania nzima.
Need I explain any further.
Mtuwache jameni tupumue eeh? Kabila la ki celebrity hili, being a chagga is more than a celeb.
Acha uongo
Acha unafikiii
tatizo si uchaga...tatizo jina lako..
Mchaga usie na hela wewe
za kwako kama za mbwa yule choko
acha zako hakuna cha uchaga hapo! shida ni kibamia chako
Mie nipo na mchaga yani ananihonga hadi nahisi kuchanganyikiwa juzi tu katoka kunikabithi hati ya nyumba na hati ya V8...........Lol