mh!mi nawapenda sana sema ulevi,michepuko ndo kinachonitatiza kwa hawa ndugu zetu kinyume na hapo Moshi iko mlangoni.
mh!mi nawapenda sana sema ulevi,michepuko ndo kinachonitatiza kwa hawa ndugu zetu kinyume na hapo Moshi iko mlangoni.
ha!ha!haaa!naona parokia imeingia mdudu wa bunge la katiba
nimechokozwa
Njoo kwangu status zangu iko plain!
poa ngoja nikajifunze kucheza Rege nkiweza tu ntakuja kwako.
Hayo utajifunza hata baada ya kuingia ndani
usijali mangi wangu nambie leo umeingiza shingapi?(kwa sauti ya kimanka)