Mabinti waliolelewa kimayai na changamoto ya mahusiano

Mabinti waliolelewa kimayai na changamoto ya mahusiano

Sio Mood yani unakuwa Umechoka balaaa tena kama ndo hili Jua la dar aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Labda umpate demu wa kisukumaa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Duuuh wanawake mu wavivu sana km 1 tu kweli.
Yaani mimi kiukweli huwa napenda sana kutembea kiukweli yaani sehemu kama haizidi km 3 me huwa naona bora kukanyaga labda niwe na haraka ndio nachukua usafiri.

Naamini unafatilia mpira. Kabla ya match si unaona hata wachezaji huwa wanapasha kidogo? Hiyo pia inasaidia kuuweka mwili sawa kabla ya mtanange.
Sio mechi ya kitandani
 
Maanake ya siku hizi mavivu sana, yani hata ingekuwa km 2 kuna umbali gani hasa ikiwa mnatembea taratibu mkipiga stori? Bodaboda endeleeni kutafuna haya mawatu [emoji23]
Duuuh wanawake mu wavivu sana km 1 tu kweli.
Yaani mimi kiukweli huwa napenda sana kutembea kiukweli yaani sehemu kama haizidi km 3 me huwa naona bora kukanyaga labda niwe na haraka ndio nachukua usafiri.

Naamini unafatilia mpira. Kabla ya match si unaona hata wachezaji huwa wanapasha kidogo? Hiyo pia inasaidia kuuweka mwili sawa kabla ya mtanange.
 
Sasa km 1 ni umbali mdogo...?
Mkuu watakuita wa dar es salaam sasa hivi...

Ila km 1 si umbali mrefu sana, kwa dar ni kama utoke migomigo pale kwa mkuu wa wilaya hadi fire hivi...

Watoto wa Aza/Jangwa wanatakuwa na idea...
 
Aaah aaah maninaaaa[emoji350][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom