FactKama kuna waislamu, ni hasara kwa wazazi, watoto wanatakiwa kusoma dini tokea wakiwa wadogo mpaka anafikia umri wa kujitambua, ila tumeikumbatia i'lmu ddunia tukasahau elimu ya dini. Matokeo yake ndio hayooooooooooooo.
Waislamu tusomesheni watoto wetu dini, waijue dini yao, wamjue Mtume wetu n.k.
Ila wakipata ndo akili inawakaa sawa.Kabisa wadogo zetu siku hizi hawaogopi ukimwi, wanaogopa mimba tu aisee
Asante kaka. Lakini warembo wapo wa kutosha?Hakuna buti la zungu sasa kuna maning nice
FactHayo mambo hayapo Veta Mtwara pekee, yapo maeneo mengi yenye vyuo vya Kati na Juu pia
Kuna sehemu kama Wazazi/Walezi tumefeli kuwalea na kuwafanya watoto wetu wa kike na kiume waishi na wakue Kimaadili
Suala la mmomonyoko wa maadili limekuwa janga kubwa kwenye jamii zetu
Athari zake ni maradhi makubwa Kwa Vijana wetu at their young age, kukosa heshima/adabu Kwa wakubwa zao pamoja na kushindwa kuingia Kwenye Ndoa.
Sisi tuliosoma enzi za Mkoloni tuliwahi kufundishwa kwamba Demand na Supply ni catalyst ya kufanya watu waingie kwenye Ndoa ama wasiingie
Huwezi kutamani Kuoa(Hasa timu Kataa Ndoa) wakati ukiwa na nyege zako unajua utampigia rafiki yako Mwanaisha atakuja utaichapa then utaendelea na maisha yako
We parents, have to change and being responsible for the future of our generation
Anaitwa nani? Maana nipo naelekea Mtwara muda huuMdogo wangu anasoma hapo lazima niwe concerned
🙏🙏Fact
Wengi mno..Asante kaka. Lakini warembo wapo wa kutosha?
Nifanyeje sasa ili niwe nao karibu hapo Veta? Nichukue fomu nijiunge ili niwe nao karibu kabisa au niwe naenda kupiga misele?Wengi mno..
Watoto wenye viuno vyao..
Aiseee mtwara wale wamakonde wanajua aiseee
Nifanyeje sasa ili niwe nao karibu hapo Veta? Nichukue fomu nijiunge ili niwe nao karibu kabisa au niwe naenda kupiga miseleWengi mno..
Watoto wenye viuno vyao..
Aiseee mtwara wale wamakonde wanajua aiseee
Kinasoma Veta?Kuan kimoja nitakuwa nako hapo shooters kesho kutwa
Kigamboni ya NtwaraFatma bana....
Karibu sana mtwara kwetu..
Nipo hapa msanga mkuu, karibu sana
Sema we jau sanaNifanyeje sasa ili niwe nao karibu hapo Veta? Nichukue fomu nijiunge ili niwe nao karibu kabisa au niwe naenda kupiga misele?