Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,141
Ewaaaah karbu mkuuKigamboni ya Ntwara
Ewaaaah karbu mkuuKigamboni ya Ntwara
Nakatisha ndoto zao kivipi tena?Sema we jau sana
An uchukue fomu kabisa kisa hawa watoto..
Mkuu nikushauri we achan nao.kabisa.
Karibu huku msanga mkuu utakutana na watoto wakali kabisa ambao hawapo mazingira ya chuo.
Usikatishe ndoto za hawa watoto mkuu kumbuka hata wewe una binti huku chanika
Duuuh hatari hyo mpaka zalala na sokomi mkuu basi we ni mwenyeji bana...Nakatisha ndoto zao kivipi tena?
Msanga ipi? Zalala au sokoni? Napajua vizuri sana huko ndo nyumbani kwao na Bimkubwa wangu.
Huko nyumbani kabisa mkuu namjua kila mtu huko hadi Ngongere , Malui kote kwangu hukoDuuuh hatari hyo mpaka zalala na sokomi mkuu basi we ni mwenyeji bana...
🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂 Hapa sina mengi aisee nikajua naongea na mgeni wa huku kwetu
Mmmh unaanza kunitisha mkuu...Huko nyumbani kabisa mkuu namjua kila mtu huko hadi Ngongere , Malui kote kwangu huko
Vibaya hivyo dada angu, now nipo Mnazi mmoja hapa to MtwaraShindwa
Wanamwaga miuno tu...
Sina hakika, nasikiaga wanajua kunyonga kiuno...Wanamwaga miuno tu...
Ntwara houyyyyeee
ni nomaDuh aisee
Bwana mkubwa! Unaongelea mambo ya uislamu na dini ukiwa upande gani wa nchi?Kama kuna waislamu, ni hasara kwa wazazi, watoto wanatakiwa kusoma dini tokea wakiwa wadogo mpaka anafikia umri wa kujitambua, ila tumeikumbatia i'lmu ddunia tukasahau elimu ya dini. Matokeo yake ndio hayooooooooooooo.
Waislamu tusomesheni watoto wetu dini, waijue dini yao, wamjue Mtume wetu n.k.