utakuta muda wote jitu lipo lipo nguo kanga kwenda siku nzima mnaboa sana huku uswazi .,mjitahidi kuvaa vizuri wengine mnanuka ..,.badilikeni
we kijana wewe lugha uliyoitumia inaboa sana em tengua kauli yako hiyo mnanuka sio kabisa kuna namna unayoweza kusema ili kuwarekebisha watu na sio hizo lugha chafuchafu,who the hell do you think you are kudharau wadada kiasi hiko,we ndugu zako waoe wanaishi uzunguni?mbona hukuongelea hao wa uzunguni au wenyewe wote ni wasafi?au kwa kuwa wengi wao wanavaa kizungu na kwako khanga ni uchafu?acha dharau huko uswahili kuna watu tu tena hujawazidi chochote wanavuta pumzi ile ile uvatayo wewe na chakula kile kile ulacho wewe,kama unaishi uzunguni sijui uhindini na sio uswazi mshukuru muumba wako lakini usiwadharau hao wengine waishio huko,hata wewe ungeweza kujikuta unakaa huko,those are just coincidences.
Ndo haiba ya kike
nayapaenda sana madela mnayovaaga ila mnaniuzi KUCHOMEKA DELA KWENYE CHUPI?
hahahaaa farkhina huyu dogo anatutusi wavaa khanga eeh, sikai uswazi ila nikiwa kihome home khanga kiunoni inanihusu, atuwache kabisa watoto wa ki Afrika khanga ndio utamaduni wetu alaaah..!
mkuu mie sio shirika la msaada labda nikope mtaji then wakopeshwa labda kidogo itasaidia
Hahahahaha mwambie huyooo
kuna moja alivaa dela na kitambaa tatizo dela lilikuwa linaangaza mpaka ndani na hana tight, Ninyi nanyi!Hahahahhaha hao watakua sio wavaaji wa madera watakua tu wanaiga....wenyewe hasa tunataka yawe marefu na ndani tunavaa tight ndefu ili tusije kukaa vibaya tukapiga picha watu lol