Mabinti wa uswazi jitahidini kuvaa

Mabinti wa uswazi jitahidini kuvaa

hahahaaa farkhina huyu dogo anatutusi wavaa khanga eeh, sikai uswazi ila nikiwa kihome home khanga kiunoni inanihusu, atuwache kabisa watoto wa ki Afrika khanga ndio utamaduni wetu alaaah..!

Labda alimkuta mamsap wake mchafu sasa anasingizia watu wote wananuka. Huyu jamaa ana mambo.
 
Last edited by a moderator:
sio ujinga ila nawapa darasa

Kanga ina ubaya gani kwa mtoto wa kike?Nyie ndiyo mna kasumba mbovu kuwa mdada akipendeza lzm avae tight jeans na high heels!

Mwaka jana nilikuwepo kwenye onyesho la Miss Tanzania;kuna wadada 3 walikuja ukumbini wote wamevaa kanga kwa kweli walipendeza mno!
 
hivi ulijuaje "khanga" zao zinanuka??
 
Hahahahaha mie si uswazi ila kanga kichwani hainitoki na madera yangu mwenyewe kwa raha zangu...kuvaa kanga si uchafu bali ni hulka ya mtu tu...

nayapaenda sana madela mnayovaaga ila mnaniuzi KUCHOMEKA DELA KWENYE CHUPI?
 
nayapaenda sana madela mnayovaaga ila mnaniuzi KUCHOMEKA DELA KWENYE CHUPI?

Mwanamke dera! Na raha ya dera liwe linapwaya.
Kulichomeka kwa kyupi ni hulka ya wasiojua thamani yake
 
utakuta muda wote jitu lipo lipo nguo kanga kwenda siku nzima mnaboa sana huku uswazi .,mjitahidi kuvaa vizuri wengine mnanuka ..,.badilikeni

Mwe, ulitaka wavaaje, au hivi?

tcc.JPG
 
kuvaa kanga ndo kutojipenda?
au kuvaa kanga ni uchafu?
na kama unaona wananuka si uwanunulie jadore uwagawie mtaa mzima ili wanukie ufurahi?


usafi hauitaji hayo elimu ya kutambua mazingira pamoja na tabia ya kujipenda inasaidia sana kuwa poa
 
utakuta muda wote jitu lipo lipo nguo kanga kwenda siku nzima mnaboa sana huku uswazi .,mjitahidi kuvaa vizuri wengine mnanuka ..,.badilikeni
Mkuu... jitolee kama zawadi kwa jamii " Charity starts at home " msaada wako ubarikiwe.
 
Sasa we unadhani huu ujumbe utawafikia walengwa? Hao wanawake wa uswazi wanapata habari kupitia magazeti ya shigongo.
 
utakuta muda wote jitu lipo lipo nguo kanga kwenda siku nzima mnaboa sana huku uswazi .,mjitahidi kuvaa vizuri wengine mnanuka ..,.badilikeni

mkuu si uhame huko uswazi?ni moja ya burudani kuishi uswazi yaani kanga moja!mie nimezaliwa na kukulia uswazi.huwezi kuwazuia wanawake wa uswazi kutokuvaa kanga moja especially the whole day.
 
utakuta muda wote jitu lipo lipo nguo kanga kwenda siku nzima mnaboa sana huku uswazi .,mjitahidi kuvaa vizuri wengine mnanuka ..,.badilikeni

utakuwa hujui utamu wa kanga wewe!
 
kuvaa kanga ndo kutojipenda?
au kuvaa kanga ni uchafu?
na kama unaona wananuka si uwanunulie jadore uwagawie mtaa mzima ili wanukie ufurahi?

mkuu mie sio shirika la msaada labda nikope mtaji then wakopeshwa labda kidogo itasaidia
 
Back
Top Bottom