Mabinti wa Obama: Uchaguzi hadi uchaguzi

Mabinti wa Obama: Uchaguzi hadi uchaguzi

misnomer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
203
Reaction score
69
Malia+Obama+2008+Democratic+National+Convention+ri3RUaMx-7Ml.jpg
Malia+Obama+2008+Democratic+National+Convention+MrhWO0M4GvDl.jpg
2008
​


120905031759-obama-daughters-watching-michelle-speech-story-top.jpg
2012
​
 
Yaani tu suala la kuwa doo ndo mstari wa mbele? Kwa nini hata usisifiwe kuwa wako close na baba/mama/wazazi wao ili nawe ujifunze kuwa karibu na wanao si ukifika tu nyumbani wasikimbilie tena mvunguni mwa kitanda kujificha!!! Let us learn positive things from this family before stepping to harufu za ngono. Sure they are gorgeous beautful growing daughters. Kila mtu angetamani awe nao kwa kuwa pia wana set a very good example of well mannered children. I love the Obamas nuclea family!!!!
 
Vibinti bado vidogo watu mnawamezea mate, Lol!! Tafuteni akina Miss Tanzania 2012
 
Vibinti bado vidogo watu mnawamezea mate, Lol!! Tafuteni akina Miss Tanzania 2012

Yethuuu unataka wasee mu mujini wakumalise? Kina Lundenga macho hapo hapo, makuwadi wa wazee na mapedesjee wa mujini wako hapo hapo!!! Thubutu!!
 
cuteeeee kids! vipua kama wahabeshi! kweli intermarriges haziongopi, sio mkurya na mjita, utachokaaaaaaaaaaaaaa, jimiksini jamani, realy helps!
 
Mie nakamezea mate kale kadogo, hivi kana miaka mingapi vile?
 
Posts nyingi zimejaa comments za ngono tu. Kweli tuna safari ndefu ya kufika huko tunakotakiwa kufika kama watu wamejaa mawazo ya ngono kwa kiwango kikubwa namna hii. It is terrible
 
Back
Top Bottom