Smartmind
Member
- Feb 17, 2011
- 31
- 6
Hii ndio maendeleo au sie wa zamani washamba? Leo utakuta binti mdodgo ana boyfriend wa primary, akimaliza primary anatafuta wa secondary. Akitoka hapo anakwenda chuoni, huko ana mvulana wa kumpa madesa na kumsaidia assignments, ana mvulana handsome boy anayempenda wa kutoka naye out huyu ni showcase, ana buzi baba mtu mzima wa kumnunulia mavazi na vitu vya gharama na ana mwalimu wa kumpa maksi darasani. Akitoka hapo akienda ofisini yule handsome boy anakuwa mume, kisha anatembea na bosi wa kumpandisha vyeo, anatembea na kijana mwingine ofisini hapo kwa kuwa anampenda, hii nini jamani?