Mabinti wa kileo

Smartmind

Member
Feb 17, 2011
31
6
Hii ndio maendeleo au sie wa zamani washamba? Leo utakuta binti mdodgo ana boyfriend wa primary, akimaliza primary anatafuta wa secondary. Akitoka hapo anakwenda chuoni, huko ana mvulana wa kumpa madesa na kumsaidia assignments, ana mvulana handsome boy anayempenda wa kutoka naye out huyu ni showcase, ana buzi baba mtu mzima wa kumnunulia mavazi na vitu vya gharama na ana mwalimu wa kumpa maksi darasani. Akitoka hapo akienda ofisini yule handsome boy anakuwa mume, kisha anatembea na bosi wa kumpandisha vyeo, anatembea na kijana mwingine ofisini hapo kwa kuwa anampenda, hii nini jamani?
 
hapo sasa_umefanya vizuri kuwapasha hao wadogo zako
 
mabinti wa siku hizi hao hawawezi kusimama wao kama wao hadi wawe na references
 
Uzuri katika kila hatua huyo partner anakuwa ana shughuli maalum e.g kumpa madesa,kumuongezea maksi,kumuweka mjini,kumpenda e.t.c
at least huwa kuna sababu
Je vijana wa kiume? ana mademu watatu wote ni classmates,kitaa wapo wawili, home kwao (kule ushagho) wapo wawili, mama mwenye nyumba bado,plus na mtoto wa tajiri fulani sasa anajitahidi amuoe
mmmmhh wote balaa,hakuna cha mabinti wala wakaka.
 
You take many_then you generalize...hiyo imo mkuu

Many girls in TZ now days copy wazungus how they dress, some wear wigs and swing their heads to remove fake hair getting into their eyes like wazungu, some wear white make up and they looks like ghosts, wake up sisters ask for mafuta ya nazi, or why not be natural? Saop drammer za western zinawachengua sana mabinti wa kibongo wanapata free training ya matusi eg f**n idiot, lazy bastard etc. Stop too much imitation, be yourself girls.
 
Tatizo vichwa vyao vimejaa ujinga wa kupenda kuiga mambo maovu, nchi imekuwa na jamii ambayo haina maadili kabisa mfano suala la mavazi ndio aibu kabisaaaa.... huyo binti unayemsema hapa ukimwambia akuonyeshe mamayake unaweza kimbia jinsi alivyo na vivazi vya ajabu kushinda vya mtoto wake! yaani nchi hii huwezi kumkanya mtoto wa mwenzako, kila mtu anaishi apendavyo bila kujali anakwaza wenzake au la..
 
Uzuri katika kila hatua huyo partner anakuwa ana shughuli maalum e.g kumpa madesa,kumuongezea maksi,kumuweka mjini,kumpenda e.t.c
at least huwa kuna sababu
Je vijana wa kiume? ana mademu watatu wote ni classmates,kitaa wapo wawili, home kwao (kule ushagho) wapo wawili, mama mwenye nyumba bado,plus na mtoto wa tajiri fulani sasa anajitahidi amuoe
mmmmhh wote balaa,hakuna cha mabinti wala wakaka.

mi sioni shida kwa wakaka, kwani hata wahenga walisema
fahari wawili hawakai zizi moja, wakimaanisha kuwa
majike wanaweza kaa wakiwa under fahari moja. we cheki hata
wanyama kama simba... au hata kuku hapo kwa jirani yako then
utakubali.
 
acha waje waeleze akina feis buku!

uyu vip? hii page ni kwa ajili ya wanajf, sasa fb watakujaje hapa? au unafikiri mmu
ni jambo la kufikirika na la kitoto? basi ungefungua jukwaa la siasa nk ndo
hutapata story hizi.umekuja kusoma nini katika jukwaa la maisha , mahusiano na
urafiki? shake well before use.
 
Hii ndio maendeleo au sie wa zamani washamba? Leo utakuta binti mdodgo ana boyfriend wa primary, akimaliza primary anatafuta wa secondary. Akitoka hapo anakwenda chuoni, huko ana mvulana wa kumpa madesa na kumsaidia assignments, ana mvulana handsome boy anayempenda wa kutoka naye out huyu ni showcase, ana buzi baba mtu mzima wa kumnunulia mavazi na vitu vya gharama na ana mwalimu wa kumpa maksi darasani. Akitoka hapo akienda ofisini yule handsome boy anakuwa mume, kisha anatembea na bosi wa kumpandisha vyeo, anatembea na kijana mwingine ofisini hapo kwa kuwa anampenda, hii nini jamani?
mi naona wanafanya vizuri ili wapate experience,
unajua mambo mengine yanahitaji uzoefu kuliko ujuzi.
 
Back
Top Bottom