Ngoswe11
Member
- Nov 19, 2010
- 87
- 24
Kuhusu kufa hilo sitaki kuamini. Ila kuolewa na hao wa kanda ya ziwa siwezi shangaa. Navyoona ni kuwa wadada wa kichaga wanajua tabia za kaka zao through life experience. Kwa ufupi nimesikia wadada wa kichaga wakiwabonda kaka zao kwa hiyo wana wadisqualify kuwa si wame wazuri sitaki kwenda deep kusema tabia walizo nazo hao makaka zao.
Ila kuwatetea hao makaka zao naweza sema ni kawaida kuku ukimchunguza huwezi kumla. Hata mimi natokea mkoa mmoja wa kanda ya ziwa na niliapa kuwa sitakaa niolewa na mtu wa kwetu kwa kuwa nawajua vizuri. Kuna mdada ameolewa na mkaka mtu wa kwetu basi ananilalamikia sana wewe kaka zako washenzi. Mimi nawatetea huku kimoyomoyo nasema hujiulizi kwa nini mimi niliwakimbia.
Kwa hiyo nimeona cases nyingi sana hapa mjini wadada hawapendi kuolewa na watu wa kwao kwa kuwa wanajua weakness zao.
Good experience NK, ukubwa dawa! Uzoefu wako unatusaidia wengi hapa JF kuelewa rumours zisizo na mashiko! ASANTE SANA!