Mabinti wa Kichaga na Kipare

Kuhusu kufa hilo sitaki kuamini. Ila kuolewa na hao wa kanda ya ziwa siwezi shangaa. Navyoona ni kuwa wadada wa kichaga wanajua tabia za kaka zao through life experience. Kwa ufupi nimesikia wadada wa kichaga wakiwabonda kaka zao kwa hiyo wana wadisqualify kuwa si wame wazuri sitaki kwenda deep kusema tabia walizo nazo hao makaka zao.

Ila kuwatetea hao makaka zao naweza sema ni kawaida kuku ukimchunguza huwezi kumla. Hata mimi natokea mkoa mmoja wa kanda ya ziwa na niliapa kuwa sitakaa niolewa na mtu wa kwetu kwa kuwa nawajua vizuri. Kuna mdada ameolewa na mkaka mtu wa kwetu basi ananilalamikia sana wewe kaka zako washenzi. Mimi nawatetea huku kimoyomoyo nasema hujiulizi kwa nini mimi niliwakimbia.

Kwa hiyo nimeona cases nyingi sana hapa mjini wadada hawapendi kuolewa na watu wa kwao kwa kuwa wanajua weakness zao.

Good experience NK, ukubwa dawa! Uzoefu wako unatusaidia wengi hapa JF kuelewa rumours zisizo na mashiko! ASANTE SANA!
 
Kuhusu kuwapenda/kuwa/olewa na hao wakaka unaowasema labda kwasababu ni wajanja/wanaendana/shibana n.k.Kuhusu kuua waume hayo ni maneno tu ya watu wasio na kazi za kufanya...kuhusu wakaka wa Kichagga kutowaoa wadada wa Kichagga huo ni uongo tu sijui mnautoa wapi maana wajomba na kaka zangu si chini ya kumi wameoa Uchaggani!

Hata hivyo kama unayosema yangekua ya kweli especially namba moja na mbili bado sioni tatizo liko wapi.Wewe na wenzio sijui kinawauma nini maana hamna anaeumia.Au kwasababu wewe sio wa sehemu hizo hivyo karoho kanakuuma kwa kudhani una nafasi ndogo?!Jaribu bahati yako....kama wewe ni binadamu usie na kasoro zisizo za kawaida ..mwenye mwelekeo na anaeeleweka waweza pendwa tu kama wengine maana hatuna kitabu cha kutuongoza kujua kabila gani la kupendwa na lipi la kuachwa....

Da Lizzy thanks sana!

Kwa kuongezea ni kuwa watu hawajui kuwa dunia ya sasa imebadilika, waachane na kukariri mambo ya miaka ya 47! Ukioa mwanamke wa kichaga kiukweli hutalala njaa hata siku moja, anajua kupanga maisha hasa ukiwa muwazi kwake na kumuonyesha mapenzi ya kweli.

Binafsi am so proud kuona wanawake wa kichaga na nina-wa-admire sana! Wanaume wengi wametoka kimaisha na hawa dadaz wa kichaga! Wengi wanasema Ukioa mwanamke wa kichaga ujue umepata jembe la uhakika ktk maisha yako!

NB: Ila usije kurupuka eti umekutana nae manzese uwanja wa Fisi kisha uje kulia lia hapa hatutakuelewa! Mtoto wa kichaga mtoe aliyeko skonga/ Univers, college au Work mate wako ofisini/kazini kwenu etc kamwe hutajuta ktk maisha.

Kama vipi panda kule kule milimani: Kibosho, Marangu, Rombo, Machame, Hai/sanya juu, longuo, mawela n.k huko ndiko utapata kitu pure kabisaa

Lakini inapendeza umpate wa huku mjini kisha yeye akupeleke kule ukanywe mbege bila kusahau ngararimu... lol ...... Achana na hawa watu bana wanajua kupenda from their heart........ na ukileta ukicheche....... hapo ... hata kupigwa utapigwa.....

Kifupi hawapendi kuchezewa/kupotezewa dira ktk maisha. NDIO MAANA WANAUME WENGI WANAWAOGOPA HAWA DADA ZETU WA KICHAGA COZ WAPO STABLE NA HAWATAKI KUCHANGANYWA NA MAMBO YENU YA KUWA VICHECHE MSIO RIDHIKA KTK MAPENZI a.k.a msiwe chovya chovya!!
 
Duh!!
Hii kali jamani ila naona ni imani za kale,mimi naamini environment,malezi pamoja na family traits ndio zinachangia kwenye tabia ya mtu hata awe myao,mdigo n.k.
Punguza imani za kishirikina hapa TZ watu wengi mtu tajiri akifariki watasema ni NGOMA au KAROGWA kumbe mtu kafa na matatizo yake.
Ukimpenda mtu na unaweza vumilia mapungufu yake na yeye anakuvumilia yako OANENI
 
Kuhusu kuwapenda/kuwa/olewa na hao wakaka unaowasema labda kwasababu ni wajanja/wanaendana/shibana n.k.Kuhusu kuua waume hayo ni maneno tu ya watu wasio na kazi za kufanya...kuhusu wakaka wa Kichagga kutowaoa wadada wa Kichagga huo ni uongo tu sijui mnautoa wapi maana wajomba na kaka zangu si chini ya kumi wameoa Uchaggani!

Hata hivyo kama unayosema yangekua ya kweli especially namba moja na mbili bado sioni tatizo liko wapi.Wewe na wenzio sijui kinawauma nini maana hamna anaeumia.Au kwasababu wewe sio wa sehemu hizo hivyo karoho kanakuuma kwa kudhani una nafasi ndogo?!Jaribu bahati yako....kama wewe ni binadamu usie na kasoro zisizo za kawaida ..mwenye mwelekeo na anaeeleweka waweza pendwa tu kama wengine maana hatuna kitabu cha kutuongoza kujua kabila gani la kupendwa na lipi la kuachwa....

Napigilia misumari hapo Lizzy,umenifurahisha sana.....................................Huyu kakimbiwa kwa kukosa sifa na vigezo vya mwanaume bora sasa anatafuta pa kupumulia!
 
Da Lizzy thanks sana!Kwa kuongezea ni kuwa watu hawajui kuwa dunia ya sasa imebadilika, waachane na kukariri mambo ya miaka ya 47! Ukioa mwanamke wa kichaga kiukweli hutalala njaa hata siku moja, anajua kupanga maisha hasa ukiwa muwazi kwake na kumuonyesha mapenzi ya kweli.Binafsi am so proud kuona wanawake wa kichaga na nina-wa-admire sana! Wanaume wengi wametoka kimaisha na hawa dadaz wa kichaga! Wengi wanasema Ukioa mwanamke wa kichaga ujue umepata jembe la uhakika ktk maisha yako! NB: Ila usije kurupuka eti umekutana nae manzese uwanja wa Fisi kisha uje kulia lia hapa hatutakuelewa! Mtoto wa kichaga mtoe aliyeko skonga/ Univers, college au Work mate wako ofisini/kazini kwenu etc kamwe hutajuta ktk maisha.Kama vipi panda kule kule milimani: Kibosho, Marangu, Rombo, Machame, Hai/sanya juu, longuo, mawela n.k huko ndiko utapata kitu pure kabisaaLakini inapendeza umpate wa huku mjini kisha yeye akupeleke kule ukanywe mbege bila kusahau ngararimu... lol ...... Achana na hawa watu bana wanajua kupenda from their heart........ na ukileta ukicheche....... hapo ... hata kupigwa utapigwa.....Kifupi hawapendi kuchezewa/kupotezewa dira ktk maisha. NDIO MAANA WANAUME WENGI WANAWAOGOPA HAWA DADA ZETU WA KICHAGA COZ WAPO STABLE NA HAWATAKI KUCHANGANYWA NA MAMBO YENU YA KUWA VICHECHE MSIO RIDHIKA KTK MAPENZI a.k.a msiwe chovya chovya!!
Hhahahh...Ngoswe asante...umenifurahisha hapo SANYA JUU na kwenye NGARARIMU....dah kweli vitu vya asili havina mpinzani!!!Alafu umesahau Kiburu!!
 
Napigilia misumari hapo Lizzy,umenifurahisha sana.....................................Huyu kakimbiwa kwa kukosa sifa na vigezo vya mwanaume bora sasa anatafuta pa kupumulia!
Hhahah..alafu eti mihasira anakuja kumwaga hapa!!
 
Da Lizzy thanks sana!

Kwa kuongezea ni kuwa watu hawajui kuwa dunia ya sasa imebadilika, waachane na kukariri mambo ya miaka ya 47! Ukioa mwanamke wa kichaga kiukweli hutalala njaa hata siku moja, anajua kupanga maisha hasa ukiwa muwazi kwake na kumuonyesha mapenzi ya kweli.

Binafsi am so proud kuona wanawake wa kichaga na nina-wa-admire sana! Wanaume wengi wametoka kimaisha na hawa dadaz wa kichaga! Wengi wanasema Ukioa mwanamke wa kichaga ujue umepata jembe la uhakika ktk maisha yako!

NB: Ila usije kurupuka eti umekutana nae manzese uwanja wa Fisi kisha uje kulia lia hapa hatutakuelewa! Mtoto wa kichaga mtoe aliyeko skonga/ Univers, college au Work mate wako ofisini/kazini kwenu etc kamwe hutajuta ktk maisha.

Kama vipi panda kule kule milimani: Kibosho, Marangu, Rombo, Machame, Hai/sanya juu, longuo, mawela n.k huko ndiko utapata kitu pure kabisaa

Lakini inapendeza umpate wa huku mjini kisha yeye akupeleke kule ukanywe mbege bila kusahau ngararimu... lol ...... Achana na hawa watu bana wanajua kupenda from their heart........ na ukileta ukicheche....... hapo ... hata kupigwa utapigwa.....

Kifupi hawapendi kuchezewa/kupotezewa dira ktk maisha. NDIO MAANA WANAUME WENGI WANAWAOGOPA HAWA DADA ZETU WA KICHAGA COZ WAPO STABLE NA HAWATAKI KUCHANGANYWA NA MAMBO YENU YA KUWA VICHECHE MSIO RIDHIKA KTK MAPENZI a.k.a msiwe chovya chovya!!

........hajawahi kupelekwa hapo mndenyi huyo,tunamkaribisha kwenye hii FULL SUTI huku mlimani,nipo jikoni namuandalia Mtori apunguze baridi wakati akisubiri NDUU ziive!.Jioni nitamtoa kwa NGARARIM na baadae nimpeleke akapate"kitochi" pale kwa mzee Ndesa

chagga hut.jpg
 
........hajawahi kupelekwa hapo mndenyi huyo,tunamkaribisha kwenye hii FULL SUTI huku mlimani,nipo jikoni namuandalia Mtori apunguze baridi wakati akisubiri NDUU ziive!.Jioni nitamtoa kwa NGARARIM na baadae nimpeleke akapate"kitochi" pale kwa mzee Ndesa View attachment 33217
Ebana weeeee....kweli asiyepapenda kwao MSHAMBA!!
 
utafiti ulifanyia chuo gani ?

sema chumba gani sio chuoni, huko kuna watoto hayo mambo ya pesa na kuoana hakuna
serikali imezuita, hata siasa no

mwenye uelewa mdogo utamjua tu si mpaka mfanye intavuu

hacha matusi
hii kitu ni kweli nusu na uongo nusu
ukweli ni kwamba kweli jamaa wanachukua huko na mimi ni na ushahidi wa kutosha, na sababu ni mwoneka na ushapu (mwanamke wakichaga kama unazo anakutokea live) hawana kuzuga, hii kitu nina hakika nayo kwa asilimia mia na sio kwa watu wawili ni idadi ya kutosha
lakini hilo la kuuwa sio kweli bado sija hakikisha,
 
Hivi ukioa mchaga kisha ukapata mali nyingi inatakiwa usife? Kweli ukiyashangaa ya magamba utayaona ya JF
 
Ni dhambi kubaguana kwa ukabila au udini wa mwenzako ila nina swali kwa Wana Great thinker, katika pitapita yangu nimegundua mabinti wengi wa kichaga na kipare wana miguu midogo(mwembamba) sana tofauti na maumbo yao yalivyo. Je hii inatokana na nini? Je kuna mtu alishawahi kufanya utafiti wa RNA na DNA kujua nini kisababishi cha hali hii? Wadau wenye wapenzi wachaga au wapare (wanawake) naomba mtizamo wenu.
 
una maanisha miguu membamba?
vipi akili kichwani k una kabila linakamata??
stupid topic
 
midogo??mifupi??fafanua acha mambo ya haraka
namaanisha ule ukosefu wa lishe, i mean wembamba wa miguu yao unatokana na nini? Je kuna uhusiano wa RNA na DNA kati ya wachaga na wapare? Next time punguza hasira ROSE b'coz jina lako linaashiria upendo,furaha,utayari n.k
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom