Mabinti wa kibongo na kushobokea magari!!!!!!!!!!!!

Mabinti wa kibongo na kushobokea magari!!!!!!!!!!!!

Gari ishu ingine bana acheni tuu hakuna anayechomoa mbele ya verosa yangu!!
 
haya wewe ulie ndani ya mada... mchango wako uko wapi........?
...wanawake tunawapenda sanaaa na tuna waheshimu, msijidharau kama hadithi tuliyoisoma hapo juu, imagine kubadili shati tu mtu anabadili mawazo. hii sisawaaa...
 
wala Mokoyo, without challenges your life has no goal!!!!!!! criticism is one of the challenges mokoyo....... and i accept them as it betters ma tomorrow!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
you are real a great thinker, nilifikiri utatokwa na mapovu, big up
 
Madem ni viumbe wa tofauti sana na ukitaka wawe tofauti na unavyovikiri wewe itabadili maana ya uwepo wao ,wacha wawe walivyo kwa maana ndio kusudi la Mungu kwetu.
 
Huyo jamaa yko unayemsubiria asingekua na gari ungempenda!
 
Hata ukiwa unaendesha gari la taka la jiji ukitongoza hunyimwi.
 
Back
Top Bottom