zanzsco
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 161
- 45
SALAAM?????????????????????????????????????????????
Kwenye pitapita zangu za town mjini kariakoo, nikaweka kituo kijiweni kwa washikaji huku nasubiri my heart aje kunipick pale, pakatokea tukio la kuniachia maswali mengi, mambo yakawa hivi..........
Alipita dada mmoja kwa kweli ni mrembo na kaumbika sana na alikuwa amependeza sana, sasa palikuwa na jamaa mmoja pale kijiweni akamtamani si akamwita bwana weeee hayo majibu nilichoka mwenyewe oh una hadhi ya kuwa na m2 kama mm na ma2c juu.. jamaa kumbe ana gari ka park pembeni akaamua kukaa kijiweni...........
Aka2ambia ngoja nimpe advertisement c akavua t-shat na kuivaa nje ndani pamoja na cap kuficha uso akawasha ndinga lake na akaenda kumtokea yule dem, c akalainika na kuingia laini na jamaa akapita nae pale na kusema namaliza leo leo kilaki2.............
Kesho yake nikapita pale kufwatilia coz ndo maskani ya kusubiri kufwata, nikaambiwa mbona alimaliza na kurudi hapa na kumwacha????????? nilichoka na kujiuliza what z gari, money kwa utu wa mtu..... Though i love money bt not to this extent ya kumkubali m2 just becoz iko na garii.....
NICE DAY LADIESSSSSSSSS, YOU ARE MEANT FOR GOOD LIFE JUST BE PATIENT!!!!!!!
''DON'T BE EVIL TO GET RICH'' GOOGLE GUYS