Mabinti wa chuo kunani?

Mabinti wa chuo kunani?

Wengi wanajiuza hasa kwa wanaume ambao ni sawa na baba zao,ushaidi nunaonyesha jamani hata kwa macho yetu tunajionea hata kama maisha magumu dada zangu tuvumilie wengi hawapendi kutoka na vijana wenzao c wanaona hawana pesa lakini evelyn believe me dadaz wa chuo wengi wanakokopi na kupesti globalization without editing,lets us respect ourselves
 
Nchi zetu za kimaskini hizi...njaa tu zinatusumbua, kama una hela unawezagonga darasa zima mpaka lecturer....sasa kuna mtu hapo
 
Hii ya ma dent kujiuza naisikia mno hapa jf
ukiuliza wapi wanapojiuza hujibiwi.
ukisema weka namba zao hapa hao wanaojiuza
hakuna anaeweza...
mostly ni hisia tu..
sababu wadada wanaojiuza ni age ile ile ya ma denti na mavazi yale yale...

Bossman unaishi pande zipi?

Maana madenti wa vyuo kujiuza (ingawa si wote wafanyao hivyo) si jambo jipya. Uliza watu wanaoishi pande za Sinza karibu na kwenye zile flats za zamani za CRDB ambazo zilikuja kugeuzwa kuwa dorms za madenti wa UDSM na sasa zimekuwa flats za wafanyakazi wa UDSM.

Baa nyingi za maeneo hayo (kwa Afande, Migombani, Sungu Chini, Meeda, Soccer City, na zinginezo) zilikuwa zinajaa madenti wa UDSM na ilikuwa ni wewe tu kufika bei.

Wengi wao walikuwa siyo wa kusimama mabarabarani kwa sababu unaweza kusema wana sophistication kushinda wale wengine.

Kwa hiyo si suala la hisia tu. Ni suala lenye uhalisia.
 
Hizo story za ku guess tu
party girls na prostitutes tofauti yake sio kila mtu anaijua
college girls are party girls.....periods...

Mi najua college gals waliokuwa wanajiuza (escorts) na waliokuwa wana strip kwenye gentlemen clubs huku wakiendelea na shule. Na stripping na prostituting hazina tofauti kivile maana at the end of the night most likely kuna shefa linaomba kuondoka na stripper na likifika bei stripper anaenda kulimalizia haja zake.
 
Hii ya ma dent kujiuza naisikia mno hapa jf
ukiuliza wapi wanapojiuza hujibiwi.
ukisema weka namba zao hapa hao wanaojiuza
hakuna anaeweza...
mostly ni hisia tu..
sababu wadada wanaojiuza ni age ile ile ya ma denti na mavazi yale yale...

The Boss hapa majuzi bwana dominique strauss-kahn alipokuwa akijitetea kuhusu ushiriki wake wa ngono na makahaba
aliomba aelezwe jinsi ya kutofautisha mwili mtupu (naked) wa kahaba na asiye kahaba. hakupata jibu
 
Last edited by a moderator:
Bossman unaishi pande zipi?

Maana madenti wa vyuo kujiuza (ingawa si wote wafanyao hivyo) si jambo jipya. Uliza watu wanaoishi pande za Sinza karibu na kwenye zile flats za zamani za CRDB ambazo zilikuja kugeuzwa kuwa dorms za madenti wa UDSM na sasa zimekuwa flats za wafanyakazi wa UDSM.

Baa nyingi za maeneo hayo (kwa Afande, Migombani, Sungu Chini, Meeda, Soccer City, na zinginezo) zilikuwa zinajaa madenti wa UDSM na ilikuwa ni wewe tu kufika bei.

Wengi wao walikuwa siyo wa kusimama mabarabarani kwa sababu unaweza kusema wana sophistication kushinda wale wengine.

Kwa hiyo si suala la hisia tu. Ni suala lenye uhalisia.

Kimsingi nakubaliana na wewe
ninachopinga ni ile dhana kuwa 'wanajipanga barabarani'
au ni full biashara kiwaziwazi

hiyo ya style hiyo inafanyika club zoote
na mostly wanachagua customers sio ishu ya pesa saana.
but ni wachache mno...
 
Mi najua college gals waliokuwa wanajiuza (escorts) na waliokuwa wana strip kwenye gentlemen clubs huku wakiendelea na shule. Na stripping na prostituting hazina tofauti kivile maana at the end of the night most likely kuna shefa linaomba kuondoka na stripper na likifika bei stripper anaenda kulimalizia haja zake.

Marekani sio?au bongo?
 
The Boss ,njoo Mwanza makoroboi nitakuonesha mabint wa SAUT wanavyojipanga barabarani kama nyanya.
"
Tena sio wachache ni wengi balaa!
 
Last edited by a moderator:
The Boss ,njoo Mwanza makoroboi nitakuonesha mabint wa SAUT wanavyojipanga barabarani kama nyanya.
"
Tena sio wachache ni wengi balaa!

Na wewe unawndaga makoriboi kufanya nini? Adhabu yako usiku!

BTW huwa mnawaomba ID? Maana pozi za wadada ni kusema anasoma Chuo!
 
Last edited by a moderator:
Hao wanachuo umalaya wanafanya na nani?????
Wanafanya na wafanyakazi wa taasisi mbalimbali, wengine hata mawaziri na wafanya biashara mbalimbali, Huwa eti wanadai wanafunzi wenzao wakiume hawana "Bargaining power"
 
Sweetie Kaunga acha mambo yako bana,ili ujue jambo sio lazima ushiriki.Wengine nawafahamu ni wanafunzi na wala hawakatai kuwa wanafanya biashara hiyo.
"
Leo mchana sitaki pilau,nipikie mtori tu!
 
Last edited by a moderator:
Nasikia huko UDOM unapata huduma ya ngono hadi kwa shilingi Elfu moja, kwa mkopo na hata Bonus ipo.

labda kama unatania mkuu! Sidhani kama wadogo zetu wamefikia hatua hiyo,ujue kuna watu wengine wa mtaani ambao wanavunga wanafunzi wachuo na wengi wao ukimuuliza anasoma course gani utasikia sociology nililiona ata pale udsm.
 
hapana jamani hizo ni story tu za kitaa japokuwa wapo lakini sio hadi 1000
 
Hii ya ma dent kujiuza naisikia mno hapa jf
ukiuliza wapi wanapojiuza hujibiwi.
ukisema weka namba zao hapa hao wanaojiuza
hakuna anaeweza...
mostly ni hisia tu..
sababu wadada wanaojiuza ni age ile ile ya ma denti na mavazi yale yale...

aiseeeeeeeeee babayangu ze big boss umenena vizuri
 
Kimsingi nakubaliana na wewe
ninachopinga ni ile dhana kuwa 'wanajipanga barabarani'
au ni full biashara kiwaziwazi

Kwa nijuavyo mimi madenti huwa hawajipangi barabarani (ingawa huenda wapo ambao hufanya hivyo).

Wengi wao wanaojihusisha na hayo mambo staili yao huwa ni ya kutegesha. Yaani kwa mfano wanaenda kwenye baa halafu wanachukua meza (mademu tupu), wanaagiza vinywaji, wanakaa wana-sip hadi watapomuona potential mteja au hadi wewe utakapo-make move.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom