Mabinti tumieni vyema dirisha lenu

Mabinti tumieni vyema dirisha lenu

Acha matusi kwa watoto wa kike, Kumbuka hata mama yako ni MWANAMKE ana dirisha kama ulimaanisha kwa nia njema!
Mzee, em acha kunijaza maneno, wapi hapo nimeandika tusi.? Au n mawazo yako tuu ndo yanawaza matusi
 
Hiyo picha yapo chini inasanifu yaliyomo kwenye mada kweli
 
Binti wa miaka 19-26, soma tena soma haswaa baada ya hapo tafuta pesa tena zitafute haswaaa, utaolewa na mwanaume yoyote umtakaye, dunia ya sasa inahitaji Elimu na Pesa usidanganyike, tena inahitaji nyote kupambana usibweteke ukasubiri kuletewa utaishia kuingia kwenye mikono ya watu wenye fikra kama hizi, unyanyaswe ujihisi una mikosi,

SOMA+TAFUTA PESA.
(YOu can read it Loud)
Feminism Ideology
 
Nilivyoelewa si kwamba anashauri wasitafute fursa za maendeleo ikiwa ni pamoja na shule. Tatizo ni kuwa wasichana wengi kipindi hicho, hata walio vyuoni, wanadangayika kirahisi sana na watu wanaovizia kuchezea miili yao kiasi kwamba wanapoteza muda na fursa za kujenga mahusiano makini na “future spouses”.

Ujenzi wa mahusiano makini unaweza kufanyika popote hata wakiwa vyuoni, makazini, au kwenye biashara. Badala yake wengi wanaishia kupoteza muda na watoto wa mjini (players) na sugar daddies.

Wanadanganywa na sifa za kilaghai kuhusu uzuri walio nao ili walegee na kujiachia kirahisi. Wakishtuka tayari wanaelekea 30s ndipo wanaanza kushindana na mabinti wa 19-25 kusaka mahusiano makini.

Kunywa soda popote ulipo.
 
Wewe sijakuelewa. Naona unadrifti drifti tuuu sijui unadrifti na Mitsubishi Evo, Subaru ama Ka Altezza😁😁😁😁😁😁
Sasa kama hujaelewa lugha nyepesi kama hiyo, sijui ni kipi utaweza kuja kuelewa.
 
Kuna singo maza wamekuja na hasira sana,
Ila tafuta pesa sanaa na elimu lakini mwanamke heshima yake ni ndoa hasa huku Afrika huko majuu weshawehuka. Japo wanapenda sana ndoa unless we ni shemale

Hahahahaha
 
Nadhani una hoja nzuri sana, sio kwa wanawake tu bali hata sisi me.

Huu ujumbe niliwahi kuushuhudia kwenye jamii ya watu waliostaarabika sana, inaonekana mwanamke ana "value", tena inapanda na kushuka kutegemeana na na muda/umri. Japo sio muumini sana wa hilo, naona wadada above 30 and to me they're so attractive, wamekomaa kifikra na nawaona wapo tayari na wanaweza ku settle, ni swala la kupata yule wanayeendana tu.

Muhimu mtu ajue anachotaka katika maisha yake, choices....just make the right choice, ukibugi hapo ndio inaweza kuwa shida.

Ninafurahi kuwa umeelewa.

Tunapozungumzia habari ya Sexual Market Value (SMV) ya Mwanamke tutamaanisha masuala mbalimbali, sio tu uzuri wake au mvuto wake bali kuna kitu kinaitwa (body count) au idadi ya wanaume ambao mwanamke amepita nao.

Mwanamke ukiwa na vyote lakini body count yako ikiwa High ni sawa na simu ya zamani yenye cover jipya.

Mabinti wengi wenye higher body count hawana uwezo wa kusettle. Rollo Thomasi ameandika "A woman’s capacity to bond monogamously is inversely proportionate to the number of sexual partners she’s experienced prior to monogamy. Even one prior lover (or even unrequited obsession of hers) can be Alpha enough to upset that bonded monogamous balance."
 
Mmmmmmhmn, ila kuna ukweli. Nadhani wanaokupinga watakuwa aidha ni waoga wa ukweli au wanachuki binafsi na wewe ila huu ulioandika hapa ni ukweli mtupu.
 
Ninafurahi kuwa umeelewa.

Tunapozungumzia habari ya Sexual Market Value (SMV) ya Mwanamke tutamaanisha masuala mbalimbali, sio tu uzuri wake au mvuto wake bali kuna kitu kinaitwa (body count) au idadi ya wanaume ambao mwanamke amepita nao.

Mwanamke ukiwa na vyote lakini body count yako ikiwa High ni sawa na simu ya zamani yenye cover jipya.

Mabinti wengi wenye higher body count hawana uwezo wa kusettle. Rollo Thomasi ameandika "A woman’s capacity to bond monogamously is inversely proportionate to the number of sexual partners she’s experienced prior to monogamy. Even one prior lover (or even unrequited obsession of hers) can be Alpha enough to upset that bonded monogamous balance."
I like your argument. It's sound and deep.
 
Bora umesema, maana sikuhizi wanajikuta Sana hawajui kijana wa kiume anaweza kuoa hata miaka 30 wao wanafikiri kujaliwa makalio kumbe wamesahau hata tivii za chog zilishapita na wakati

Acha kuponda kalio kijana.

Mwanamke Hata awe na 40 plus akiwa na kalia hawezikosa wakumtoa genye
 
Najua kuna watu wameanza kupanick. Simaanishi dirisha ulilowaza wewe, nina maanisha muda maalumu ambao Mwenyezi mungu amewatengea ili kuhakikisha mnapata Mwanaume.

Mwanamke yuko kidogo na utofauti na Mwanaume. Mwanamke ameumbiwa thamani tangu angali tumboni kwa mama yake. Thamani ambayo wala haangaiki kuitafuta, Jukumu lake kuu ni kuilinda na kuitunza thamani hiyo kipindi muda sahihi utakapo wadia. Kwa bahati mbaya zaidi thamani yake hudumu kwa kipindi cha muda mfupi zaidi kuliko ile ya mwanaume

Thamani ya mwanamke (Female Value) huanza hushamiria anapofikia miaka 19 na hufikia kileleni afikapo miaka 26. Hiki ndio kipindi ambacho mwanamke anapata attention ya ziada kutoka kwa wanaume. Ndio kipindi ambacho uzuri na urembo wake hujidhihirisha wazi.

Hiko ndio kipindi ambacho Munu amemuumbia mwanamke kupata mwanaume. Kipindi ambacho atatongozwa na idadi kubwa sana ya wanaume kuliko kipindi chochote kile kwenye maisha yake. Hivyo basi ni vyema mabinti watumie vyema wakati huo. Wanawake wengi wametumia vibaya sana wakati huu.

Dalili za wanawake walio chezea vibaya dirisha hili.

  1. Wengi wao wanashinda makanisani kuombewa wapate wanaume wa kuwaoa.
  2. Wengi wao wamegeuka na kujipa jukumu la kutongoza wanaume hadi jamii inawashangaa.
  3. Wengi wao wanashangaa kwanini hawatongozwi na kshobokewa na ilivyo kipindi cha nyuma.
  4. Wengi wamebebeshwa mimba na kubaki Masingo Maza.
  5. Wengu wameishia kudanga na kupewa magonjwa ya kudumu kama HIV
Ukiuchezea muda huo hakuna atakaye kuadhibu, bali UKUTA wa huo muda ndio utakao kuadhibu. Ewe binti usiruhusu dirisha hili likukute na kukupita bila ya kujichukulia chako mapema.
View attachment 1676544
Mkuu mimi nina mtazamo tofauti na wako. Mara nyingi uwa naona mada za mwanamke kuolewa akiwa na miaka fulani, kuzaa akiwa na miaka fulani na mengine mengi ambayo yapo limited according to you guys. Lakini mimi nafikiri wanaume hasa wanapaswa kuwa macho katika suala la muda au miaka.
Sisi wadada mnadai tukifika miaka 28 or more hatupendezi ila si kweli. Hata msichana mdogo ambaye ataolewa mapema unaweza kukuta anafanana na bibi na yule ambaye hajaolewa na 30s yuko poa sana. Hapa nafikiri shida ni aina ya maisha tunayoishi. Maana nikiwahi kuolewa kwamba nitakuwa sivutii maana yake nikiwa kwenye ndoa mume atanichoka nikianza kutomvutia, kesho ataleta wanawake wengine wachanga nianze kupata stress. So hapa niconclude kuwa miaka haimfanyi mtu aonekane mbaya ila maisha anayoyaishi kwa kiasi kikubwa ndiyo yanayomchakaza.
Kwa upande wa wakaka. Mnadai wanaume wanaweza kuoa hata wakiwa 40 au 50. Nafikiri wanaume hasa ndio walipaswa kubeba jukumu la kuoa mapema zaidi ya sisi kuolewa mapema. Sisi tunatoka kwetu na tunahamia kwa mume. Kwa hiyo ni mwanaume ndiye anayepaswa kuanza kujipanga maisha ili aweze kuoa mwanamke anayeendana naye kiumri.
We una miaka 50, unaoa mtoto wa miaka 18 kisa unajipa moyo kuwa mwanaume anaweza kuoa akiwa 50 or more, je mnawaza hata hao watoto mnaopata mtaishi nao muda gani hapa duniani? Maana kufika 50 kwa maisha yetu ni bahati. Na huyo mtoto unayemuoa je kuna upendo wa kweli au yeye naye amekufata kwa kuwa hana maisha? Ndio yale akiwa na agemate wake, mzee uje ujfe kwa presha. Ndio maisha mnayoyaongelea!
All in all, muda sio kitu cha kuchezea. Haurudi nyuma. Si kwa mwanamke au mwanaume. Kila mmoja anapaswa kufanya kitu cha msingi ndani ya muda. Kama ni kusoma soma kwa bidii, kama ni kazi fanya kwa bidii. Ndoa na maisha mengine ambayo yakiwepo au yasipokuwepo yasiwape stress mpaka wadada wakaenda kujibebesha mimba kwa lazima ili kuforce ndoa sababu ya mada za namna hiyo humu jf. Vitu vingine ni baraka toka kwa Mungu.
 
Back
Top Bottom