KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,143
- 40,910
mmh wakifika saba nambie na mi nijaribu bahati yangu
Mkuu hupotezi fulsa...
mmh wakifika saba nambie na mi nijaribu bahati yangu
Mkuu hupotezi fulsa...
luge kishatufundisha... kamata fulsa, twenzetu!!! Ila zingine ni mitihani
Hehe hivi vigezo mnavyoviweka as if nyinyi wakamilifu,
wanaume kwa ubinafsi!!
Mbona hamna kigezo cha ajabu hapo..au ukusoma uzi..!?Hehe hivi vigezo mnavyoviweka as if nyinyi wakamilifu,
wanaume kwa ubinafsi!!
hiv kwanin walimu na ma nurse wanapendwa sana????
hawana jeuri ya pesa, wakishaolewa ndo wamefika... jidanganye ukachukue mwanasheria siku akiwa judge jiji utalikimbia
hiv kwanin walimu na ma nurse wanapendwa sana????
Wamekaa kiheshima heshima, walezi flani wa familia. siunaona ata wake wa viongoz wengi walikuwa maticha .
Wadau wa a jf.
Mtakumbuka nilitoa hapa ombi kuwa natafuta binti atakayekuwa kuwa mke
wangu, nikasema mimi nina umri wa miaka 28.
Nilipata PM nyingi ila wote ni above 29.
kwa mara nyingine natoa tena nafasi ya mwisho kwa wenye umri wa kuanzia
20-27, awe na kazi i mean awe ameajiriwa, akiwa mwalimu au Nurse ni
vizuri zaidi but siyo mandatory.
Awe seriou, mpenda maendeleo na awe anajitambua tu. kwa aliye tayari
ni-PM
NOTE;- Awe binti tu siyo mvulana.
Walio single tu?????
Mkuu yani dawa yako inabidi tukutaftie ki miss university matumizi laki mbili kila siku ili uone umhimu wa hao ulowapiga chini.