Mabinti na wamama nisaidieni!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabinti na wamama nisaidieni!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtama, Nov 15, 2010.

 1. M

  Mtama Member

  #1
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi hii dhana kwamba mwanaume ili amridhishe mwanamke kimapenzi ni lazima awe na bunduki kubwa ilitoka wapi?Au ni kweli wenye bunduki ndogo hawawaridhishi ndo mkaanza kulalama mkawapa dili watengeneza dawa za kuongeza ukubwa wa bunduki?Kama ni hivyo wasagaji wanaridhishana vipi?Au ni kutojiamini kwa wanaume ndo kumesababisha dhana hii?
   
 2. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mmmmmmmh, ngoja waje hao wakina mama bila shaka wana majibu!!!!!
   
 3. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  :tape:
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  -kutowajibika
  -kutokujua maromance na madudu mengne...km romance ikiwa heavy mbona dudu haitajiki?manake ushafika na kurudishwa VIA romance....breakfast ikiwa heavy lunch waipotezea au km vp inakuwa ni ile ya kishkaj tu..
  -sasa weew romance kwako mwiko..ukijitaid sana unajifanya haukumalizia kunyonya kwa mamakomzaz...+kidubwana chako ni cha kat (wal si kibamia)..demu atakwambia tu una kidudu kdg..
  --hakuna kubwa wala ndogo iz based on hw u use t....NURSERY KABLA YA PRIMARY INASAIDIA KIDOGO....upo?
   
 5. M

  Mtama Member

  #5
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rose thanx,natumai nitapata somo zaidi,kumbe romance ni kiboko kuliko
   
 6. F

  Ferds JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mimi natamani nikuone face to face, cna nia mbaya ila ni bonafide meeting dada angu
   
 7. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kwa hapo Rose mimi naona bado, licha ya hiyo lakini chai ni chai ama sivyo utakonda! lazima upate Luch ya m,aana.

  Kama una kibamia hata kama uatashughulika mapema halafu umemamsha mwenzio ukashindwa kummalizia, basi huna lolote.

  Kwa sababu hata hiyo breakfast ikiwa kubwa anategemea kuwa uwezo wako ni mkubwa hivyo hata mengine itakuwa vilevile.
  Labda nikuulize, wote wana hisia hizo? au ndo vile wengine mhimu zaidi ni b.fast, wengine cha mhimu sana dinner yenyewe tu?
   
 8. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Nimemwambia na kumwuliza, Kuna watu waankuwa wanasubiri tu kubwa hayo mengine wanaona mchezo wa watoto tu.

  hata hawaelewi, na ukianza ndo wanaanza kuhesabu. mwanzo ukimchomax2 tu anaona umempotezea mda, na siku nyingine unaweza usipate. Lkini mpe shughuli ngumu, uatakuomba mwenyewe!!:yield:
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kubishana siwez
  km waona ivo poa
  bt we kesho nenda kapige chai nzito,main chapat juic mida ya saa 3 -4 then km utakuwa una hamu ya msosi saa 7
  bt any way wengine ni viwavi...
  POA BWANA UPO SAHIHI SWEEEEEETIE.
   
 10. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Aka! mytazamo wangu ni kuwa kuna watu ambao hata kama watapata chai nzito lakini wanatazamia lunch hata dinner nzito sana
  maana kuna watu walishawahi kusikika kulalamika kwa hayo
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  haha haha inategemea na ulimfanyaje iyo romance...km uliikosea ulikuwa unamchoma choma km unachokonoa minyoo ardhin iyo ni issue
  -ukiijua kuifanya wala hataitaj iyo bamia sjui tango...akiitaj ni katika kusaplment tu bt ile swaga ya kwanza inakuwa imefunika wachaw wote!!!!:yield::yield::yield:
   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ivi ennh??????bas pooooooa!!!!!!!
   
 13. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  size haijalishi, ni jinsi tu mwanaume anavyoweza kutumia bunduki yake, wapo wenye bunduki kubwa kuzitumia hawezi kabisa
  zaidi ni kukuumiza, tena usipokuwa makini anaweza kuutoa utumbo nje

  ile size ya kati au hata kibamia mtu anaweza kukitumia vizuri ukajisikia upo paradiso, kwangu mimi kule ndani hakunaga deal kabisa mambo yote juu tu
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mi pia nataman nkuone
  ki agape zaid i thk...
   
 15. F

  Ferds JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Endelea na sasambu sasambu mama
   
 16. F

  Ferds JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tongue Tied
   
 17. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mh hilo nalo neno!!
  Itabidi tujifunze tena. Asanteni kwa elimu ya bure
   
 18. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmh romance wacha bwana yannnni ni nzuri mno naweza kesha nayo all the night long.......ahhhh mmeisoma na hiiii mamaaaaaa:yield:
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Nov 15, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ur welcome
  achana na habari za ndg zetu wale..yupo stend ubungo anampgia mkewake....mamayoyooooo ebu tayarisa kabisa iyo kitu mi nakaja...mlango uache waz kabisa....
  bas akifika tu pale anamrukia mkewe km anadive vile....hakuna kijitayarisho wala matayarisho bas apo sasa umkute kajaliwa kajibamia bas dahh bmkubwa lazma anune!!!!!!!!!!
   
 20. F

  Ferds JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Good Stuff
   
Loading...