Kuna siku niliwai kumwambia paroko flani kwamba..... Hana uwezo wa kufundisha/kujadili/kuzungumzia ndoa kwasababu hajui nini kilichopo ndani ya ndoa kwakua hajawai kuishi na mke...ππBado haina uhusiano, kuzaa/kuzaliwa na kuoa ni vitu tofauti kabisa.
Wacha tulio ndani tuongee mkuuπππππKuna siku niliwai kumwambia paroko flani kwamba..... Hana uwezo wa kufundisha/kujadili/kuzungumzia ndoa kwasababu hajui nini kilichopo ndani ya ndoa kwakua hajawai kuishi na mke...ππ
Hii ni zaidi ya chai isiyo na shugaMkuu, hakuna mahusiano kati ya pesa na ndoa nzuri. Lakini niwajibu wa kila mwanaume kufanya kazi/kutafuta pesa, hata kama hana ndoa.
Kuna siku niliwai kumwambia paroko flani kwamba..... Hana uwezo wa kufundisha/kujadili/kuzungumzia ndoa kwasababu hajui nini kilichopo ndani ya ndoa kwakua hajawai kuishi na mke...[emoji23][emoji23]
Sijasema kwamba ndoa ni kitu cha msingi sana (bali umuhimu wa kila Jambo kwenye maisha ya mhusika, hutegemeana na kipaumbele chake).Mimi kuwa kwenye ndoa haitoshi kuipamba kuwa ni kitu cha msingi sana, sio kila ufanyacho ni kizuri au muhimu sana.
Huo ni utovu wa nidhamu kwa viongozi wa kiroho. Kaombe msamaha kabla Krismasi kuisha. OohoooooKuna siku niliwai kumwambia paroko flani kwamba..... Hana uwezo wa kufundisha/kujadili/kuzungumzia ndoa kwasababu hajui nini kilichopo ndani ya ndoa kwakua hajawai kuishi na mke...[emoji23][emoji23]
Pole sn, sihitaji kusoma cause niko kwenye ndoa mwaka wa 7 sasa so najua vingi ambavyo wewe huvijui. Endelea kusoma hizo pdf!Kuna time hua napata shida sana pale ninapo soma hoja za kuhusu ndoa kutoka kwa mtu ambae hajaingia hata kwenye ndoa.
Nakushauri ukatafute kwanza kufahamu hitaji la msingi la mke kwa Mume wake, then uje usome tena ulicho kiandika.
Sawa mkuu, ebu twende na hoja bila shaka tutaafikiana tu....Hii ni zaidi ya chai isiyo na shuga
Akikujibu ulog offUlikuwa sahihi kabisa, lakini paroko huyo huyo anakufundisha habari za uzima wa milele na raha za mbinguni ilihali hajafika ila unamwamini!
[emoji847][emoji16][emoji16][emoji28]Wanaume makini tupo ila hatuna pesa, unawashauri vipi hapo?
AiseeePole sn, sihitaji kusoma cause niko kwenye ndoa mwaka wa 7 sasa so najua vingi ambavyo wewe huvijui. Endelea kusoma hizo pdf!
Sio lazima usome wala ujifunze mkuu....Pole sn, sihitaji kusoma cause niko kwenye ndoa mwaka wa 7 sasa so najua vingi ambavyo wewe huvijui. Endelea kusoma hizo pdf!
Sijasema kwamba ndoa ni kitu cha msingi sana....
Ndoa ni taasisi/ndoa ni makubaliano ya wawili ambayo hufanya nyumba ambayo huongozwa na mume na kisha mie akawa mtii.
Hivyo basi, sidhani kama ungekua unaifahamu vizuri ndoa, ungeiita ni utumwa...
Hiyo ni nidhamu ya uoga chief, ukweli siku zote umranya mtu aishi maisha yasio na unafiq ndani yake...Huo ni utovu wa nidhamu kwa viongozi wa kiroho. Kaombe msamaha kabla Krismasi kuisha. Oohooooo
Kwel kabisa wanaume makini tupo wengi tu. Sema shida hua inakuja kumpata mwanamke makini piaWanaume makini wapo..... tena wengi tuu. Kabla ya kufanya maamuzi piga goti umshirikishe Mungu, sikiliza moyo wako huku ukishirikisha ubongo wako.
View attachment 1658928
Kumekua na maneno mengi ya kuwakatisha tamaa lakini za kuambiwa changanya na zako
Nafikiri kazi ya mtumishi wa Mungu ni kuniombea, kunifundisha mambo ya kiroho na kunifundisha njia ya yalio mema.Ulikuwa sahihi kabisa, lakini paroko huyo huyo anakufundisha habari za uzima wa milele na raha za mbinguni ilihali hajafika ila unamwamini!
Tatizo vijana wengi wanadhani kwamba ndoa ni kitu tu kinakuja from no where, lakini hawajui kwamba ni jukumu la kila mmoja kuitengeneza ndoa yake iwe nzuri, yenye furaha na amani tele....Wacha tulio ndani tuongee mkuuπππππ
Mkuu, nafikiri hakuna unacho kijua kwenye ndoa.Hilo la mmoja kuongoza kisha mwingine 'kutii' bado huoni utumwa hapo![emoji848]