Mabint wanaobeba MIMBA...makusudi kama kigezo cha Kuolewa..!!!!!!

]Walaumiwe wote,[/COLOR] wote wanasex bila kinga unategemea itoke friji? halafu mwanaume gani ategewe mimba?kwanini usisitize kutumia kinga hata kama mwanadada anakuwa anafahamu vizuri mzunguko wake?
Kwanini ulizimishwe kumuoa mtu kisa kabeba mimba? huna maamuzi yako? ina maana hata kama hujampenda utamuoa tu hivyohivyo?!!!

nadhani hapa wa kulaumiwa ni mkaka...mdada alikuwa na lengo lake na limetimia, sasa mkaka anataka kukwepa jukumu la mimba kwamba hakujulishwa cycle.....mxsiii..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Walaumiwe wote, wote wanasex bila kinga unategemea itoke friji? halafu mwanaume gani ategewe mimba?kwanini usisitize kutumia kinga hata kama mwanadada anakuwa anafahamu vizuri mzunguko wake?
Kwanini ulizimishwe kumuoa mtu kisa kabeba mimba? huna maamuzi yako? ina maana hata kama hujampenda utamuoa tu hivyohivyo?!!!

...lady BJ myluv,...

hapa kuna mjinga mjinga mmoja anayejidai ooohh,...mwanamke alijitongozesha, naye kwa kujiona kidume akaamua kuua soo...tupo pamoja?

kidume huyo huyo leo hii baada ya mwanamke kumwambia ni mjamzito na itabidi waoane, kidume anasema ooohh...kosa ni lake mwanamke...itawezekana vipi? i dont buy these cheap stories bana...

ni kweli kuna wanawake wachache who dares to do that, lakini wengi wao (katika hao wachache) wanaamua kufanya hivyo iwapo mwanaume anakuwa haeleweki... na maana, kila siku anampiga kalenda dada wa watu atamuoa na ahadi nyingine nyingi almuradi kumzibia huyo mdada asiendelee na maisha yake kiasi kwamba mdada anaamua ku take risk...
 
Tatizo ni kua watu hawapendi kua wakweli maana mvulana anaogopa kumwambia mwenzake kua pamoja tunafanya bila ndomu habari ya mimba sitapenda kuisikia so ukiwa kwenye za hatari niambie!
Tatizo mvulana anaogopa kusema haya kwa kuhofia kuachwa! Na baadhi ya wadada usipokua muwazi na huna msimamo ndo wanaamua kubambika!
 
asante sana.. Wewe umekua wa msaada mkubwa saana.. Ktk maisha ya kileo mabinti wengi tena wasomi.. Utawaskia wakisema.. "mie nashida na mtoto 2 bas..kufungwa ctak mie".. Sasa uwa najiuliza hyo mtoto atampataje pataje.. Ndo inakuja hiyo ishu..!

Hapa unaongelea wanaotaka watoto tu na sio ndoa (kufungwa) ...sasa hawa wanahusianaje na wanaotegesha ili kupata ndoa?!
 
Hapa unaongelea wanaotaka watoto tu na sio ndoa (kufungwa) ...sasa hawa wanahusianaje na wanaotegesha ili kupata ndoa?!

vigeugeu.. badae wanageuka na kudai ndoa.. baada ya kugundua kafanya makosa...
 
Back
Top Bottom