Mabilioni ya PR ya Nyalandu huko Uingereza

Sio siri baada ya kumpa Aunt Ezekiel mimba nakubaliana na wewe kuwa huyu jamaa ni mchapakazi....

Dah kamjaza mimba? Ina maana alikuwa anapiga stereo aka kavu aka etutana jango na jango bila kondomu. Kweli viongozi hatuna what if akanasa miwaya na kumuambukiza Faraja Kota miss Tanzania wetu...
 
Kamanda kweli wewe ni mwana psychologia aliebobea, yaani nyalandu kama unavyosema ukimwangalia tu usoni ni bonge la mnafik sijawai pata kuona tokea nizaliwe....Jana mke wake alirudi kwao kwa maana nyingine ndoa yao is over and over baada ya Faraja mke wake kugundua kuwa Aunt Ezekiel ana mimba ya Nyalandu, kumbe mchezo ulikuwa tokea zamani....hizi taarifa ni za ndani kabisa na aliyeniambia ni mke wangu ambaye ni best sana sana wa Faraja kota....
haa haa hao ndo vigogo ambao hutumia pesa za umma ili kutanua na machangu ulaya badala ya kuwatumikia wananchi. Huyu anapaswa kujiuzulu mara moja!
 
Kamanda kweli wewe ni mwana psychologia aliebobea, yaani nyalandu kama unavyosema ukimwangalia tu usoni ni bonge la mnafik sijawai pata kuona tokea nizaliwe....Jana mke wake alirudi kwao kwa maana nyingine ndoa yao is over and over baada ya Faraja mke wake kugundua kuwa Aunt Ezekiel ana mimba ya Nyalandu, kumbe mchezo ulikuwa tokea zamani....hizi taarifa ni za ndani kabisa na aliyeniambia ni mke wangu ambaye ni best sana sana wa Faraja kota....

Ohooo, na alipoulizwa juzi alisema alikutana na Anti Ezekel Washinhton 'one night' tu sijui alikuwa anazindua kitu gani then akaenda Canada na hakurejea tena Washington. Kumbe chezo watu wanalisandia siku mingi eeh?
 
Hahahahha mkuu hii kali, tayari Aunt Ezekiel kapata mimba ya jamaa, du kumbe walianza zamani sana hawa watu, maskini Faraja kota kweli kikulacho kiko nguoni mwako.....inaniuma sana PAYE yangu inapotumika kimalaya...
haa haa,mkuu kwa taarifa za uhakika vigogo wengi wana nyumba ndogo mtaani, na hizo nyumba ndogo wanahudumia watanzania masikini wa nchi hii!
 
haa haa, duh huyu jamaa hafai, ulisikia wapi mtu makini anaweza kuoa miss?
nkongu ndasu hapa kidogo I beg to differ with you. Mamiss nao ni watu wanaohitaji kuolewa na watu reputable na waka-behave vizuri tu. Tatizo hapa ni uchepukaji wa huyu jamaa ndo unazungumziwa hapa.
 
Last edited by a moderator:
Kamanda kweli wewe ni mwana psychologia aliebobea, yaani nyalandu kama unavyosema ukimwangalia tu usoni ni bonge la mnafik sijawai pata kuona tokea nizaliwe....Jana mke wake alirudi kwao kwa maana nyingine ndoa yao is over and over baada ya Faraja mke wake kugundua kuwa Aunt Ezekiel ana mimba ya Nyalandu, kumbe mchezo ulikuwa tokea zamani....hizi taarifa ni za ndani kabisa na aliyeniambia ni mke wangu ambaye ni best sana sana wa Faraja kota....

Huyo jamaa ni mchafu sana hata mkewe kamvumilia mno, Arusha ana nyumba zaidi ya mbili lakini kila akija analala kwenye mahoteli ya kitalii, analala home kama mkewe yupo Arusha, halafu ni mshamba sana anafikiri ndoa inalindwa na pesa na vitu vya thamani na madaraka bila kujali heshima yake kwa jamii. Faraja aliingia king sana kuolewa na huyo jamaa na yote haya ni kwa kuwa alikuwa na zile tamaa za ki-miss maana kwenye uchumba tu alipewa benz ya kutembelea, hata chuo aliacha kwa ahadi ya kwenda kusomea nje ya nchi na hilo lilifanikiwa. Ila jamaa ni mchafu sana kama katia mimba kwa untie basi tena poor faraja.
 
Hivi mabilioni ya pesa ambayo Nyalandu na watu wake waliwalipa wale wazungu kuifanyia PR wizara yake na serikali yameishia wapi?

Maana nashangaa pesa za misaada hawazitoi, bado wanasema kuwa serikali yetu imejaa wezi na majambazi, wale wale wazungu waliopewa pesa waandike habari nzuri bado tuu wanaendelea kukipaka na bad news. Sasa Nyalandu aliona umuhimu gani wale wazungu kulipwa pesa huko UK? kwa nini hizo hongo za pesa asingetoa hapa kwa hawa waandishi wetuwa habari ambao wakipewa semina Zanzibar au mikumi na bahasha za brown bas wao hukupamba wee mpaka!

waso it really worth it for Nyalandu kutoa zaidi ya dola milioni 3 kuilipa kampuni ambayo hawanyi kazi yyote ile au kasahau kuwa hawa wazungu hawanunuliki kirahisi kwenye zama hizi za twitter na new media?

Mkuu unauwakika walilipwa wazungu?
Embu fanya himework yako ila kw akukusaidia nitakupa Hint:-
1. Juma Pinto
2. Jambo leo

Embu google tu au fanya homework utajua mabilion yameishia wapi.
 
Huyo jamaa ni mchafu sana hata mkewe kamvumilia mno, Arusha ana nyumba zaidi ya mbili lakini kila akija analala kwenye mahoteli ya kitalii, analala home kama mkewe yupo Arusha, halafu ni mshamba sana anafikiri ndoa inalindwa na pesa na vitu vya thamani na madaraka bila kujali heshima yake kwa jamii. Faraja aliingia king sana kuolewa na huyo jamaa na yote haya ni kwa kuwa alikuwa na zile tamaa za ki-miss maana kwenye uchumba tu alipewa benz ya kutembelea, hata chuo aliacha kwa ahadi ya kwenda kusomea nje ya nchi na hilo lilifanikiwa. Ila jamaa ni mchafu sana kama katia mimba kwa untie basi tena poor faraja.
Mkuu kumbe huyu jamaa unamjua A to Z......Ila Faraja anadai kosa alifanya tokea mwanzo manake waziri alivyotoka Marekani na alipomtokea hakumsoma vizuri na kwa kuwa alikuwa desparate kuolewa kutokana na umri kwenda kidogo ndo akaingia kingi, ndio mana kwa sasa kasema baaaaaaaaaaas ni sheeeeeeeeeda na kuamua kurudi nyumbani kwao jana....alikuja kutafuta ushauri kwa mke wangu sasa giza lilipoingia nikajaribu kumshawishi alale home ili na mimi nipige gemu afu tuone waziri atajisikiaje but ilishindikana aliondoka akaenda nyumbani kwao..........
 
Kamanda kweli wewe ni mwana psychologia aliebobea, yaani nyalandu kama unavyosema ukimwangalia tu usoni ni bonge la mnafik sijawai pata kuona tokea nizaliwe....Jana mke wake alirudi kwao kwa maana nyingine ndoa yao is over and over baada ya Faraja mke wake kugundua kuwa Aunt Ezekiel ana mimba ya Nyalandu, kumbe mchezo ulikuwa tokea zamani....hizi taarifa ni za ndani kabisa na aliyeniambia ni mke wangu ambaye ni best sana sana wa Faraja kota....

Huyo aunt si ameolewa! kweli Tanzania bila UKIMWI haiwezekani.
 
Mume wake yuko ndani kwa uuzaji unga so aliona sio tabu umri unakwenda na anataka mtoto, akaona jinsi ya kupata mtoto ni kwa njia ya utaliii na isitoshe ili mtoto awe raia wa Marekani akatafuta mtu mwenye uraia pacha ili ambamize mimba na huyo sio mwingineeeeee but gues what He is Nyalandu our honourable Minister and Prime Minister to be wa Membe.
 
Nyalandu ni mchapakazi na mzalendo wa kweli,alidiriki kupambana na majangili,hawa si wazungu,bali viongozi wazito kwenye chama cha siasa,huyu waziri Nyalandu si wa kawaida,kupambana na hili kundi ni hatari,tumpe moyo tusimkatishe tamaa watanzania wazalendo.kumbukeni operation tokomeza ilihujumiwa makusudi ili isifanikiwe lakini uzalendo ukashinda,kuna siri nyingi zimefichwa hapo wengi wetu hatujui.

Ukweli ndio huo Nyalandu amewathibiti hawa majangili papa Lukuvi na Kinana na sasa wameamua kutumia vyeo vyao magambani ,kumvalia njuga na kutumia ushawishi wao kwa DHAIFU kuwa amuondoe kwenye uwaziri!! Kosa lake likiwa kuwathibiti hawa majangili papa.
 
Hivi mabilioni ya pesa ambayo Nyalandu na watu wake waliwalipa wale wazungu kuifanyia PR wizara yake na serikali yameishia wapi?

Maana nashangaa pesa za misaada hawazitoi, bado wanasema kuwa serikali yetu imejaa wezi na majambazi, wale wale wazungu waliopewa pesa waandike habari nzuri bado tuu wanaendelea kukipaka na bad news. Sasa Nyalandu aliona umuhimu gani wale wazungu kulipwa pesa huko UK? kwa nini hizo hongo za pesa asingetoa hapa kwa hawa waandishi wetuwa habari ambao wakipewa semina Zanzibar au mikumi na bahasha za brown bas wao hukupamba wee mpaka!

waso it really worth it for Nyalandu kutoa zaidi ya dola milioni 3 kuilipa kampuni ambayo hawanyi kazi yyote ile au kasahau kuwa hawa wazungu hawanunuliki kirahisi kwenye zama hizi za twitter na new media?

Nyalandu anasema kuna watu kila kukicha wana muundia tuhuma, wewe ni mmoja wao?
 
Mkuu kumbe huyu jamaa unamjua A to Z......Ila Faraja anadai kosa alifanya tokea mwanzo manake waziri alivyotoka Marekani na alipomtokea hakumsoma vizuri na kwa kuwa alikuwa desparate kuolewa kutokana na umri kwenda kidogo ndo akaingia kingi, ndio mana kwa sasa kasema baaaaaaaaaaas ni sheeeeeeeeeda na kuamua kurudi nyumbani kwao jana....alikuja kutafuta ushauri kwa mke wangu sasa giza lilipoingia nikajaribu kumshawishi alale home ili na mimi nipige gemu afu tuone waziri atajisikiaje but ilishindikana aliondoka akaenda nyumbani kwao..........

Mkuu ocampo four naona unauma na kupuliza yaani unamsema Nyalandu kuwa ni kicheche hapo hapo na wewe unamlia mingo faraja kweli we kiboko
 
ha ha ha ha nasikia huyu jamaaa america alikuwa mpigaji wa credit card!!! a.k.a mzee wa kuchanja. halafu unampa rungu lazima awa vunje viuno. Nadhani kuna haja ya kuanza kumlika huyu miss mpya maana najua huyu kipanga kisha pata namba.

hii ndy tanzania ya Baba kikojozi na Mtoto kikojozi nani wa kufungwa gunia na chura kiunoni kisha kutembezwa mtaani
 
Back
Top Bottom