kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,205
- 7,358
Chadema inavuna wabunge tu
Siasa ni unafiki..
Akiwa kwa wenzetu FISADI akija kwetu msafi, shujaa,, anaonewa
Mkuu, unamwuliza nani? Nyalandu alikuwepo huko Sikh zote. Wewe ulikuwa wapi kuhoji hayo maswali? Huu ndio tunaoita UNAFIKI.Hivi mabilioni ya pesa ambayo Nyalandu na watu wake waliwalipa wale wazungu kuifanyia PR wizara yake na serikali yameishia wapi?
Maana nashangaa pesa za misaada hawazitoi, bado wanasema kuwa serikali yetu imejaa wezi na majambazi, wale wale wazungu waliopewa pesa waandike habari nzuri bado tuu wanaendelea kukipaka na bad news. Sasa Nyalandu aliona umuhimu gani wale wazungu kulipwa pesa huko UK? kwa nini hizo hongo za pesa asingetoa hapa kwa hawa waandishi wetuwa habari ambao wakipewa semina Zanzibar au mikumi na bahasha za brown bas wao hukupamba wee mpaka!
waso it really worth it for Nyalandu kutoa zaidi ya dola milioni 3 kuilipa kampuni ambayo hawanyi kazi yyote ile au kasahau kuwa hawa wazungu hawanunuliki kirahisi kwenye zama hizi za twitter na new media?
Kwa taarifa yako kama unamfahamu hayuko salama. Iwapo bado ni raia huru kiukweli hayuko huru, kivile. Na wengine wote.Hivi ni nani aliyepewa kinyago cha million 200!
au yuko kwenye mahakama ya mafisadi?
Mkuu, acha kuongelea ndoa za watu. Hili in jukwaa LA siasa. Mbona watu hawaongelei ndoa yako humu??Huyo jamaa ni mchafu sana hata mkewe kamvumilia mno, Arusha ana nyumba zaidi ya mbili lakini kila akija analala kwenye mahoteli ya kitalii, analala home kama mkewe yupo Arusha, halafu ni mshamba sana anafikiri ndoa inalindwa na pesa na vitu vya thamani na madaraka bila kujali heshima yake kwa jamii. Faraja aliingia king sana kuolewa na huyo jamaa na yote haya ni kwa kuwa alikuwa na zile tamaa za ki-miss maana kwenye uchumba tu alipewa benz ya kutembelea, hata chuo aliacha kwa ahadi ya kwenda kusomea nje ya nchi na hilo lilifanikiwa. Ila jamaa ni mchafu sana kama katia mimba kwa untie basi tena poor faraja.
Ha ha mkuu, mbona umepaniki hivi na Chadema. Ulitaka ajiunge na TLP??Sasa jangili Nyalandu na kimada wake wanakuja kufanya kazi chadema, chadema ni evil!
Hapo hakuna unafiki wowote, acheni ujinga wenu. Kama angekuwa na shida so angekuwa ndani?Siasa ni unafiki..
Hakuna upande mwema, wote ni wajanja wajanja, wanachumia tumbo si ccm, wala chadema, wala chama chochote..
Mkuu mbona unakurupuka na kuongea utafikiri unapumbu moja, mtoto wa kiume utulie acheni vichwa vyenu vifanye kazi, sio unaendeshwa kama ling'ombe, bwamdogo acha upambe..Hapo hakuna unafiki wowote, acheni ujinga wenu. Kama angekuwa na shida so angekuwa ndani?
Ni mwendelezo ule ule wa ujinga ujinga tu Mkuu. Hakuna lolote la maana ulilosema hapo.Mkuu mbona unakurupuka na kuongea utafikiri unapumbu moja, mtoto wa kiume utulie acheni vichwa vyenu vifanye kazi, sio unaendeshwa kama ling'ombe, bwamdogo acha upambe..
Nani asiyejua kama siasa ni unafiki.. hapo kabla chadema walimuimba kwa kashafa kibao, ccm wakamuona msafi, leo anatoka ccm, ccm wanamuona mchafu chadema ni msafi.. rudi kwa lowassa mambo ni yale yale.
Siasa(hasa hasa za bongo) na unafiki ni watoto wa baba mmoja, mama zao tu ndio walitofautiana.
Mnafki sanaUkimuangalia usoni tu anaonekana mnafiki, anahofu hana amani yote hiyo kwa sababu anajijua yeye si msafi. haina haja ya kumtetea wala kumsakama nafsi yake inamtesa mwenyewe., hata yeye anashangaa kwa nini mpaka leo bado ni waziri kwa nini hawajibishwi.
Huo mstari wa pili umeua aisee.Mkuu mbona unakurupuka na kuongea utafikiri unapumbu moja, mtoto wa kiume utulie acheni vichwa vyenu vifanye kazi, sio unaendeshwa kama ling'ombe, bwamdogo acha upambe..
Nani asiyejua kama siasa ni unafiki.. hapo kabla chadema walimuimba kwa kashafa kibao, ccm wakamuona msafi, leo anatoka ccm, ccm wanamuona mchafu chadema ni msafi.. rudi kwa lowassa mambo ni yale yale.
Siasa(hasa hasa za bongo) na unafiki ni watoto wa baba mmoja, mama zao tu ndio walitofautiana.