Mabilioni ya PR ya Nyalandu huko Uingereza

Mabilioni ya PR ya Nyalandu huko Uingereza

Hahahahahaha mkuu umenichekesha sana aisee......je umepata habari ya mujini kuwa Aunt Ezekiel ana mimba ya waziri wetu, hivyo jiandae mwakani kuongezewa kodi kwa wingi manake inasemekana ni mapacha aka twins

Ila tuache utani kale katoto ka Aunty Ezekiel kana paja za haja Sana, wallah hata ningekuwa Mimi Nyalandu ningefia kwenye kidonda tu. Na kanavyoonekana TAFUNIKABO hata goli likikatikia simshauri afanye mauaji, namuomba msamaha mamaa FK then life goes
 
Mkuu kumbe huyu jamaa unamjua A to Z......Ila Faraja anadai kosa alifanya tokea mwanzo manake waziri alivyotoka Marekani na alipomtokea hakumsoma vizuri na kwa kuwa alikuwa desparate kuolewa kutokana na umri kwenda kidogo ndo akaingia kingi, ndio mana kwa sasa kasema baaaaaaaaaaas ni sheeeeeeeeeda na kuamua kurudi nyumbani kwao jana....alikuja kutafuta ushauri kwa mke wangu sasa giza lilipoingia nikajaribu kumshawishi alale home ili na mimi nipige gemu afu tuone waziri atajisikiaje but ilishindikana aliondoka akaenda nyumbani kwao..........

Hamna kitu bwana Faraja alifata pesa na madaraka ya Nyalandu wala umri ulikuwa haujaenda maana ameolewa kabla hata hajafika 25, sema alikuwa na buzi lake lilikuwa na pesa kiasi ila likamtema Faraja sasa na yeye baada ya kuona kale ka gari ka u-miss kanachoka alipopata tu nafasi kwa jamaa hakutaka kumjua sana mradi pesa ipo. Du mkuu ulitaka ujue utamu wa nyalandu:A S wink: acha bana usimcheat wife nae akajua akasepa wengine wakagonga.
 
Huyo aunt si ameolewa! kweli Tanzania bila UKIMWI haiwezekani.

Untie ameolewa na jamaa alikuwa Dubai ila inavyosemekana jamaa yuko jela sijui kaharibu nini huko kwa waarabu, untie alidai jamaa alimuoa kwa kuwa alidata kwa mauno yake, sijui na nyalandu kadatishwa na mauno? shida tupu.
 
anti ezekiel naona unamtetea jamaa baada ya kukupeleka kukudadavua US.
sisi tunaongelea masilahi ya taifa na sio mapenzi kama wewe. bwe,ge wewe.

Bwanamdogo shika adabu yako.
 
Thanks Mkuu.... Wengi wetu humu hawajui kuwa sura imeumbwa kukataa maovu! Nyalandu sura yake inaeleza kila kitu! Mnafiq Categery A! Wazungu wamegeuza maeneo ya hifadhi za Taifa kama nchi zinazojitegemea... Ukienda Singita utasikitika sana! Vitalu vya uwindaji ni balaa... Akina Charles Dankan Wamemjengea Bonge la Kasri pale karibu na shule ya Enaboishu - Arusha... Huyu Jamaa ni Jangili lililokubuhu...
Ukimuangalia usoni tu anaonekana mnafiki, anahofu hana amani yote hiyo kwa sababu anajijua yeye si msafi. haina haja ya kumtetea wala kumsakama nafsi yake inamtesa mwenyewe., hata yeye anashangaa kwa nini mpaka leo bado ni waziri kwa nini hawajibishwi.
 
Thanks Mkuu.... Wengi wetu humu hawajui kuwa sura imeumbwa kukataa maovu! Nyalandu sura yake inaeleza kila kitu! Mnafiq Categery A! Wazungu wamegeuza maeneo ya hifadhi za Taifa kama nchi zinazojitegemea... Ukienda Singita utasikitika sana! Vitalu vya uwindaji ni balaa... Akina Charles Dankan Wamemjengea Bonge la Kasri pale karibu na shule ya Enaboishu - Arusha... Huyu Jamaa ni Jangili lililokubuhu...

Mkuu acha awe na pesa na mali kiasi chochote lakini jamaa hana amani kabisa ya maisha hata mwenyewe anaiogopa nafsi yake, hilo kasri lipo na mwenzake Lembeli nae kajenga la kwake maeneo hayo hayo kaweka mke wake mdogo hapo. Yaani hawa viongozi wa hii serikali wanasikitisha mpaka mtu unatama IS waje washike madaraka nchi hii.
 
Bwanamdogo shika adabu yako.
samahani ati ezekiel nilikuwa najaribu kueleza hisia zangu tu kwa garama mnazoliingiza taifa hili kwa mambo yasiyofaa. waonieni huruma wananchi wanaoteseka huku vijijini.
 
NCAA'S New Board of Directors Inaugurated

]
board2.gif


A ten member Board of Directors for Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) was inaugurated on June 30, 2014 by the Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu at Ngorongoro Conservation Area Authority headquarters. The new Board of directors will be
chaired by former Ambassador to the US and a prominent lawyer Mwanaid Maajar following her appointment by President Jakaya Kikwete on May 27, 2014.

The board members are the Deputy Speaker of the National Assembly Hon. Job Ndugai,
Conservator of Ngorongoro Doctor Freddy Manongi who is also the secretary to the Board,
Mr Juma Pinto,
Doctor David Mrisho,
Mr Laban Moruo and
Mr Lukonge P. Mhandagani.
Others are Mr Donatius Kamamba,
Mr. Lucas Seleli and
Mr Metui Ole Shaudo who is the chairman for Ngorongoro Pastoralists Council.

The inauguration ceremony was witnessed by other Ministry's senior officials and executives including the Deputy Minister Hon. Mahmoud Mgimwa and the Ministry's Permanent Secretary Maimuna Tarish. NCAA‘s members of staff and resident communities of Ngorongoro were also in attendance.



 
...kuna thread nyingine unasoma hata mara kumi huwezi pata mashiko/maudhui,unajaribu kukonekti dot zote lakini bado chenga tu...

Daah, nimecheka sana kwa hii comment yako aisee kwa sbb mwenzio nilishia kujiuliza tu ndani ya mtima wangu na kuamua kupotezea. Lakini, aah....mbele kidogo nakuta mawazo yako kama yangu umeyaweka katika maandishi!

Honestly, katika uzi huu, mimi nimeambulia kulisoma na kuelewa jina la Nyalandu tu, Waziri wa Maliasili na Utalii. Uhusiano wake na anachotaka mleta mada tukielewe sijui mabilioni ya PR, sijui UK imefanya nini, sijui nini......mwanzo mwisho ni chenga tupu!!

Lakini mimi pia nahisi kuwa labda kuna kujuana na kutaarifiana humu jamvini kwa baadhi ya thread zinazopostiwa kwa sababu kuna wengine hata hapati taaabu ya ku comment as if wameshapigiwa simu kuwa....jamani eeh kuna hili na hili nalitupia. Labda hii ndiyo inayosababisha waleta/mleta mada kushindwa au kutokuwa makini katika ku analyse vyema hoja anayotaka ichangiwe na kila member kwa kuweka maudhui ya mada wazi na katika namna ambayo ni rahisi kusomeka na kueleweka kwa kila member humu ili kama atawiwa kuchangia achagie pasipo kupata taabu!!
 
Haya mambo mengine ni ya kuleteana tu maradhi ndani ya nyumba,kumbe mtu unaweza ukawa unamcheka mtu fulani kumbe huo mzunguko wa unayemchekea tayari usha kubamba wakati mwenyewe hujajijua umebaki kukenua menu ukiucheka huo mzunguko.Eh Mungu uturehemu na hii mizunguko ya aliyemo na asiyekuwemo.
 
Nyalandu kuna watu wanatumia media kumchafua. Kama ni utendaji mbovu sio peke yake kwanini andikwe sana. Labda kaziba njia za majangili
 
Acha kuunganisha dot, jifunze kusoma katikati ya mistari.

...nimesoma,si kwamba sijasoma ila maana ya kinachosomeka nakihusianisha na ukweli ninao ujua mimi kuhusu mada husika na bado sipati connections, ndo maana ya ku connect dots. nadhani tuko pamoja....
 
Nyalandu kawavuruga sana vita vyenu mmehamishia jf na kuna gazeti mmoja nalo huwa halina habari nyingine kilasiku Nyalandu.

Msituzingue nchi hii Nyalandu si Mzigo wala sio Jk,mzigo ni CCM msitupotezee focus.

Semeni kawavurugia mtandao wenu kaingiza wake sasa hampati usingizi.
 
Tulipaswa kuhoji haya kabla hajaondoka lakini kusubiri kuondoka kwa mtu ndo tuanze kuyasema mapungufu yake inatupa shida kidg ss tusio na vyama.
 
Back
Top Bottom