Mabilioni ya PR ya Nyalandu huko Uingereza

Ukimuangalia usoni tu anaonekana mnafiki, anahofu hana amani yote hiyo kwa sababu anajijua yeye si msafi. haina haja ya kumtetea wala kumsakama nafsi yake inamtesa mwenyewe., hata yeye anashangaa kwa nini mpaka leo bado ni waziri kwa nini hawajibishwi.

Wewe ni takataka!
 
Kamanda kweli wewe ni mwana psychologia aliebobea, yaani nyalandu kama unavyosema ukimwangalia tu usoni ni bonge la mnafik sijawai pata kuona tokea nizaliwe....Jana mke wake alirudi kwao kwa maana nyingine ndoa yao is over and over baada ya Faraja mke wake kugundua kuwa Aunt Ezekiel ana mimba ya Nyalandu, kumbe mchezo ulikuwa tokea zamani....hizi taarifa ni za ndani kabisa na aliyeniambia ni mke wangu ambaye ni best sana sana wa Faraja kota....
Kamanda bado upo?
 
Akiwa kwetu mzuri akiondoka tunaponda..

Siasa ni unafiki..

Aisee mmeanza kufukua makaburi
Taarifa zake Nyalandu, za awali, ndizo zilimnyima nafasi kwenye Serikali ya Magufuli.

Kwa kuzingatia hatua zinazochukuliwa ndani ya CCM na Serikalini, hakika viongozi walioshiriki kuhujumu uchumi wa nchi hii, hawatabaki salama.

Tahadhari kwa viongozi wa vyama vya upinzani kuwapokea viongozi wa CCM mlio watuhuma ufisadi, kwamba mnajitengenezea jeneza kwa maziko ya mwaka 2020. Tutawakumbusha maovu ya kila kiongozi aliyehamia kwenu ili wapiga kura wawachimbie makaburi saizi yao.
 
Hivi ni nani aliyepewa kinyago cha million 200!
au yuko kwenye mahakama ya mafisadi?
 
Kamanda kweli wewe ni mwana psychologia aliebobea, yaani nyalandu kama unavyosema ukimwangalia tu usoni ni bonge la mnafik sijawai pata kuona tokea nizaliwe....Jana mke wake alirudi kwao kwa maana nyingine ndoa yao is over and over baada ya Faraja mke wake kugundua kuwa Aunt Ezekiel ana mimba ya Nyalandu, kumbe mchezo ulikuwa tokea zamani....hizi taarifa ni za ndani kabisa na aliyeniambia ni mke wangu ambaye ni best sana sana wa Faraja kota....
Aisee
 
Tulipaswa kuhoji haya kabla hajaondoka lakini kusubiri kuondoka kwa mtu ndo tuanze kuyasema mapungufu yake inatupa shida kidg ss tusio na vyama.

Yalishahojiwa, ndio maana hakupewa wizara, anafaham fika asingepitishwa 2020 chini ya uenyekiti wa Magufuli, ndio ame seek sanctuary kwenye lile li kichaka la mafisadi.
 
Taarifa zake Nyalandu, za awali, ndizo zilimnyima nafasi kwenye Serikali ya Magufuli.

Kwa kuzingatia hatua zinazochukuliwa ndani ya CCM na Serikalini, hakika viongozi walioshiriki kuhujumu uchumi wa nchi hii, hawatabaki salama.

Tahadhari kwa viongozi wa vyama vya upinzani kuwapokea viongozi wa CCM mlio watuhuma ufisadi, kwamba mnajitengenezea jeneza kwa maziko ya mwaka 2020. Tutawakumbusha maovu ya kila kiongozi aliyehamia kwenu ili wapiga kura wawachimbie makaburi saizi yao.
Subiri dakika 90... Washaurini tu tume ya uchaguzi wawe fair
 
Akihamia Chadema mtasemaje?
usihamishe magoli!! aliyepewa kinyago cha million 200 Ni nani na yuko wap?
au mnasubiri ahame chama mseme ameogopa kushtakiwa?

Uvccm mna vituko sana
 
Nyarandu anapaswa kujiuzulu kwenye nafasi yake mara moja, kwanza ile kashfa yake ya kutembea na machangu kina Aunt Ezekiel imeidhalilisha ofisi na wizara yake. Haiwezekani waziri akatumia pesa ya serikali kwa ufuska na akaangaliwa tu! Nyarandu anapaswa kuwajibika au kuwajibishwa kwa hili.
Yale ni maisha private,mbona ww unaloka barabarani hatusemi...Nyalandu anauweza binafsi kiuchumi so kuwa Aunt Ezekiel sio mpaka atumie pesa za Serikali.Kwani Aunt Ezekiel ni project inayoitaji mabillioni Aisee....?
 
Back
Top Bottom